Kuna faida ya kumgeuka rafiki yako????

Kuna faida ya kumgeuka rafiki yako????

Just move on hii ya kufatilia wanafanya nini itakuumiza tu,tulia kwanza machungu yapoe usianzishe uhusiana mpya.
 
Just move on hii ya kufatilia wanafanya nini itakuumiza tu,tulia kwanza machungu yapoe usianzishe uhusiana mpya.

Asante sana mkuu kwa msaada wako nashukuru sana kwa mawazo yako
 
Nawe tafuta mnyonge m'megee demu wake, haipunguzi maumivu ila inarudisha hadhi ya kiume....
 
Hi Papizo,

pole sana kwa yaliyokupata I have had a similar problem, mpaka nimefikiria ni mtu alikuwa anajua kilichonitokea akaamua kuileta hapa.

Kikubwa ndugu yangu ujue tu MLANGO MMOJA UKIFUNGWA, MWINGINE UNAFUNGULIWA. Huwezi jua umeepushwa mambo gani.

Samehe yote yaliyotokea na sahau, usilipize kisasi na wala usijenge chuki, Its hard but try na mafanikio utayaona. Nakuhakikishia iko siku watakutafuta.

I am taking out of experience.
 
Nawe tafuta mnyonge m'megee demu wake, haipunguzi maumivu ila inarudisha hadhi ya kiume....

Daaa mkuu umetoa mpya hapo kweli kabisa ndio hivyo inavyobidi kufanya hamna jinsi
 
Nawe tafuta mnyonge m'megee demu wake, haipunguzi maumivu ila inarudisha hadhi ya kiume....

Asante sana kwa msaa wako ila pia nimefurahi sana maana inabidi na mimi nimtafutie mnyonge nimkamue au sio???Yeah ni kweli kabisa maana maisha ya sasa mpaka rafiki anakugeuka basi maisha yanaelekea kubaya sana...Lakini pia asante sana kwa ushauri wako......
 
Hi Papizo,

pole sana kwa yaliyokupata I have had a similar problem, mpaka nimefikiria ni mtu alikuwa anajua kilichonitokea akaamua kuileta hapa.

Kikubwa ndugu yangu ujue tu MLANGO MMOJA UKIFUNGWA, MWINGINE UNAFUNGULIWA. Huwezi jua umeepushwa mambo gani.

Samehe yote yaliyotokea na sahau, usilipize kisasi na wala usijenge chuki, Its hard but try na mafanikio utayaona. Nakuhakikishia iko siku watakutafuta.

I am taking out of experience.

Asante sana tena sana mkuu maana nilijua nipo peke yangu kumbe na wewe pia ok labda pole sana kwa yote mwenzangu yaliyokupata maana mimi sikutegemea kabisa rafiki wa karibu anaweza kufanya hivyo vitu.....Lakini sasa nimekuwa kama mtu wa kawaida kwao nipo simple kwao sijapanic wala nini ila nadhani kwa hapo baadae watakuja kugundua kwamba nikosa wamefanya na watajirudi wenyewe so kila kitu namuachia mwenyezi mungu ndio atakuja kuamua hapo baadae afanye nini...Asante sana kwa kuchukua muda wako na kuweza kunisaidia zaidi
 
Asante sana kwa msaa wako ila pia nimefurahi sana maana inabidi na mimi nimtafutie mnyonge nimkamue au sio???Yeah ni kweli kabisa maana maisha ya sasa mpaka rafiki anakugeuka basi maisha yanaelekea kubaya sana...Lakini pia asante sana kwa ushauri wako......

Ndugu yangu Papizo, pole sana kwa yaliyokupata.
Ninakushauri yafuatayo:
Tulia kwanza na huo urafiki wako na huyo demu uvunjilie mbali
Huyo Jamaa yako (mwanamume) kama inawezekana naye urafiki wenu u-'pause' kwa wakati huu.
Usitafute Mnyonge eti 'um-megee' demu wake; hapana usifanye hivi kabisa (pia kumbuka kuwa kuna Ukimwi na pia Mungu hapendi hilo)
Ukishatulia angalau miezi sita Mungu atakupa msichana mwingine ambaye utamuoa.

Nina mfano hai wa ndugu zangu, watoto wa baba zangu wakubwa, walikuwa marafiki sana kila kazi hapa kijijini walikuwa wanafanya pamoja. Mmoja wao aitwaye "Hasara" alikuwa ameposa mwanamke wake tena walikuwa karibu tu wafunge pingu za maisha. Rafiki yake (mtoto wa baba mwingine mkubwa) aitwa "Molumba" yeye kipindi hicho alikuwa ametoka anaishi Jijini Tanga aliposikia ndugu yake anataka kuoa akaja nyumbani, alimpenda yule demu ya ndugu yake, akafanya maarifa fulani akamuwekea ndugu yake "Hasara" dawa fulani kwenye chakula/pombe yule "Hasara" akawa anaumwa tumbo wakati wote hivyo hakufunga tena ndoa. "Molumba" akaanza urafiki na yule dada hatimaye akamuoa.
"Hasara" kilimuhuzunisha sana kitendo hiki lakini hakuwa na lakufanya, yeye akatafuta mwanamke akaoa.
Mungu ni Mungu tu, na malipo ya dhuluma ni hapa hapa duniani, tunapozungumza sasa "Hasara" yeye yupo anaendelea na familia yake, lakini yule "Molumba" walishaachana na mkewe huu ni mwaka wa tatu na yupo hapa kijijini "anakula chawa".

Kwa hiyo ninachokushauri mdogo wangu ni kuwa huyo mwanamke hujapangiwa na Mungu, achana naye. Mwambie rafiki yako kabisa kuwa nimekuachia.

Ninakutakia kila la heri.
 
Kwanza kabisa mimi ni kaka sio dada naona watu kidogo wamejichanganya hapo chini wanajua mimi ni dada
Habari za kazi wakubwa na wadogo....Nadhani hii ni sehemu yake ya kuweza kuweka kitu chochote kinacho uhusiana na mapenzi na zaidi.....So mimi nilikuwa na problem moja ambayo sikufurahishwa kabisa na sijapata bado uwamuzi zaidi nini nifanye ili niweze kutuliza akili..First kwanza labda niseme kwamba mimi nina rafiki yangu wa kiume nipo nae karibu sana tena sana nadhani ninachofanya mimi yeye anajua na anachofanya yeye mimi lazima nijuwe yaani ni kidole na pete tuna mahusino ya karibu sana tena sana na wote tumetokea bongo ila tunaishi huku....Sasa tatizo lililopo ni kwamba mimi nina rafiki yangu wa kike((nadhani hapa mmenielewa kuhusu huyu rafiki wa kike))Lakini sasa huyu rafiki yangu hamjui huyu msichana ila ni mimi mwenyewe ndio namfahamu sasa nadhani kwa vile rafiki yangu nikamuamini nikamfahamisha kwa huyo mshichana wakawa wanajuana sasa na mawasiliano ya kawaida yakawa ya hapa na pale na jokes kwa sana......So now nimekuja kugundua huyo rafiki yangu anawasiliano na huyo mshichana kwa njia ya private sometime msn au kwa simu mimi nilikuja kugundua baada ya kuona huyo msichana ameanza kunibadilikia na kibuli sana,Baada ya kuona huyo msichana kanibadilikia na mawasiliano yamepungua kama yalivyokuwa zamani nikaja kugundua kwamba jamaa yangu ndio anachonga nae.Na pia huyo mshikaji kabla hajamfahamu huyo msichana tulikuwa na mawasiliano mazuri sana tena sasa hivi nikimpigia simu saa zingine hapokei na saa zingine anapokea na hata nikimtumia sms kwenye simu hajibu kabisa na wala nikimuuliza kama umepata sms zangu hajibu maana zamani alikuwa ananipigia simu uko wapo kujuliana hali kama hivyo lakini sasa naona jamaa kanibadilikia toka nimfahamishe kwa yule msichana na pia sasa hivi ndio huwa anawasiliana nae masaa 24 kupitia msn na kupigiana simu ila mimi wote sasa hivi hata nikiongea na huyo jamaa na huyo mshichana naona hawanichangamkii kabisa sasa nifanye nini??? kwa hiyo kuwa na rafiki wa karibu anaweza kukugeuzia kibao kukuchukulia mali yako??? au ndio ananiponda sana kwa huyo msichana ili afanikiwe yeye??Nitaomba nieleweshwe jamani nichukue uwamuzi gani maana siamini kabisa kama imekuwa hivi....Naomba msaada wenu ndugu zangu

😀😀😀😀😱😱:

Jamaa linafaidi kweli kweli...Hiyo ndiyo faida yenyewe!

Pole.
 
Ndugu yangu Papizo, pole sana kwa yaliyokupata.
Ninakushauri yafuatayo:
Tulia kwanza na huo urafiki wako na huyo demu uvunjilie mbali
Huyo Jamaa yako (mwanamume) kama inawezekana naye urafiki wenu u-'pause' kwa wakati huu.
Usitafute Mnyonge eti 'um-megee' demu wake; hapana usifanye hivi kabisa (pia kumbuka kuwa kuna Ukimwi na pia Mungu hapendi hilo)
Ukishatulia angalau miezi sita Mungu atakupa msichana mwingine ambaye utamuoa.

Nina mfano hai wa ndugu zangu, watoto wa baba zangu wakubwa, walikuwa marafiki sana kila kazi hapa kijijini walikuwa wanafanya pamoja. Mmoja wao aitwaye "Hasara" alikuwa ameposa mwanamke wake tena walikuwa karibu tu wafunge pingu za maisha. Rafiki yake (mtoto wa baba mwingine mkubwa) aitwa "Molumba" yeye kipindi hicho alikuwa ametoka anaishi Jijini Tanga aliposikia ndugu yake anataka kuoa akaja nyumbani, alimpenda yule demu ya ndugu yake, akafanya maarifa fulani akamuwekea ndugu yake "Hasara" dawa fulani kwenye chakula/pombe yule "Hasara" akawa anaumwa tumbo wakati wote hivyo hakufunga tena ndoa. "Molumba" akaanza urafiki na yule dada hatimaye akamuoa.
"Hasara" kilimuhuzunisha sana kitendo hiki lakini hakuwa na lakufanya, yeye akatafuta mwanamke akaoa.
Mungu ni Mungu tu, na malipo ya dhuluma ni hapa hapa duniani, tunapozungumza sasa "Hasara" yeye yupo anaendelea na familia yake, lakini yule "Molumba" walishaachana na mkewe huu ni mwaka wa tatu na yupo hapa kijijini "anakula chawa".

Kwa hiyo ninachokushauri mdogo wangu ni kuwa huyo mwanamke hujapangiwa na Mungu, achana naye. Mwambie rafiki yako kabisa kuwa nimekuachia.

Ninakutakia kila la heri.

Asante sana tena sana mkuu kwa kuweza kunipa mawazo yako ya muhimu zaidi na zaidi nashukuru sana tena sana....Sasa na mimi pia nimeamua nifanye hivyo nitawaacha kama walivyo sitowafatilia wala nini ila mungu anaona zaidi na zaidi so nitajaribu pia kama ulivyosema ni pause kwa muda fulani nadhani watajishutikia tu ila nashukuru sana pia nimekuelewa na kuweza kukaa kupoteza muda wako kuweza kunisaidia mdogo wako asante sana kwa hilo mungu akubaliki
 
Mimi ushauri wangu ni kwamba huyo jamaa yako muachie huyo demu nawe chagua kifaa kingine kilicho bora zaidi ya huyo uliyekuwa naye tumia gharama yoyote ufanikiwe kwa hilo utakuwa umekomesha tabia ya huyo binti maana atakuonea wivu. Kuna malipo mengine ni hapa hapa duniani.
 
Papizo..nadhani kama ushauri umepata wa kutosha kutoka kwa wana JF na nina imani uko tayari sasa kufanya maamuzi sahihi. again achana na huyo binti na hata huyo rafiki yako pia...Jenga ujasiri wa kusahau kila kitu kama vile hakuna kilichotokea. Man, utapata kifaa na kufurahia maisha...Life is full of shit....
 
Nashukuru sana Bubu msemaovyo kwa msaada wako mzuri na wenye heshima asante sana...Sasa pia nadhani mawazo yako yanakiwango zaidi na pia na mimi nitajitahidi kila uwezo wangu niweze kumuachia jamaa ngoma alafu mwenyezi mungu atalipa tu nafahamu hilo...Pia na nitajitahidi kwa kila uwezo wangu niweze kumuonyesha zaidi maana haya mambo leo yanakuwa hivi kesho hivi....Kwa hiyo nashukuru sana kwa msaada wako na kupoteza mda wako kuweza kunishauri nifanye nini asante sana
 
Papizo..nadhani kama ushauri umepata wa kutosha kutoka kwa wana JF na nina imani uko tayari sasa kufanya maamuzi sahihi. again achana na huyo binti na hata huyo rafiki yako pia...Jenga ujasiri wa kusahau kila kitu kama vile hakuna kilichotokea. Man, utapata kifaa na kufurahia maisha...Life is full of shit....

Asante mkuu nashukuru nadhani wadau wa JF walikuwa nami katika kuweza kunisaidia mimi katika kufanikisha swala langu nashukuru sana pia na wewe asante sana kwa kuweza kunishauri zaidi ushari wako asante sana mkuu nadhani sasa solution nimeshapata sasa nitajua zaidi nifanye nini usijali mkuu tupo pamoja na mungu akuzidishie
 
Back
Top Bottom