Hivi USA wamewahi chagua raisi jinsia ya KE?
Joyce alijichanya sana asingeweza kushinda kwanza alitaka kutuingiza vitani na watu malawi watu hawakupenda kabisa pia kafanya mambo mengi ya hovyo malawi asingeweza kushinda hata kidogo.
Kwa imani ya America (USA) hawakubali Demu awe Rais wa nchi yao, Lakini wao hukomalia nchi zingine kuweka rais "ke" !!
ha ha ha ha danganya toto.....!
Kamkomalia nani?
nakubaliana na weweKwa US wakikataa kuongozwa na mwanamke naweza waelewa maana tumeona mafanikio yao kwa Afrika sioni tofauti ya kuongozwa na mwanamke, mwanaume na hata mtoto maana bado tu tegemezi na tuko kwenye lindi la umaskini, maradhi, njaa, vita na etc
nimeshangazwa na bullet ya mwisho kwenye habari ya Joyce Banda
Hii ni Afrika, mwanamke c kiongozi mpka zinapokuja theory za kizungu, otherwise, kwetu Afrika mwanamke ni mama wa nyumbani kiongozi wa watoto.