Kuna demu kaniambukiza Pumbu illusion

Kuna demu kaniambukiza Pumbu illusion

Ndo mkome kwenda peku peku, na ungezama chumvini sa hizi ungekuwa unasimulia fungusi kwenye koo
 
Kuna demu flani hivi kaniambukiza huu ugonjwa wa pumbu illusion ni kama fungus flani hivi wanakaa kwenye pumbu ukijikuna unatoka weupe weupe kama unga alafu inawasha hatari muda wote ni Kru kru kru kru,

Hivi dawa yake nini hiyo wakuu?

Note:
Dawa ikataze vyote kama kunywa pombe na N.K lakini isiwe na katazo la kutokutumia Papuchi wakati wa dozi.

CC Zero IQ
Vip ushamaliza Mitihan lakin ya mhula huu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna demu flani hivi kaniambukiza huu ugonjwa wa pumbu illusion ni kama fungus flani hivi wanakaa kwenye pumbu ukijikuna unatoka weupe weupe kama unga alafu inawasha hatari muda wote ni Kru kru kru kru,

Hivi dawa yake nini hiyo wakuu?

Note:
Dawa ikataze vyote kama kunywa pombe na N.K lakini isiwe na katazo la kutokutumia Papuchi wakati wa dozi.

CC Zero IQ
Mkuu hukupima oil

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah, mkuu nimekufahamu leo maana huu msamiati una mtu wake na hakika ni wewe Bro wa Mpwapwa Sec salamu [emoji1538]

VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
 
Illusion= erosion

Afu pumbu erosion haiambukizwi kiivo..uo utakua ni ugonjwa mwingine wa ngono tuu
 
Mkuu fungus hizo wala usizunguke sana....dawa za hospital zikigoma nenda kwenye nafika ya dawa asilia watakupa kichupa kina mafuta wamechanganya mafuta ya Nazi, tangawizi na vimafuta vingine itakuwa poa mkuu..... Pole sana nafeel maumivu hayo.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukurutu huo Mkuu, picha itapendeza Mkuu. Usikune sana hizo kende ukaishia kuzichubua ngozi 😜

Kuna demu flani hivi kaniambukiza huu ugonjwa wa pumbu illusion ni kama fungus flani hivi wanakaa kwenye pumbu ukijikuna unatoka weupe weupe kama unga alafu inawasha hatari muda wote ni Kru kru kru kru,

Hivi dawa yake nini hiyo wakuu?

Note:
Dawa ikataze vyote kama kunywa pombe na N.K lakini isiwe na katazo la kutokutumia Papuchi wakati wa dozi.

CC Zero IQ
 
Kuna demu flani hivi kaniambukiza huu ugonjwa wa pumbu illusion ni kama fungus flani hivi wanakaa kwenye pumbu ukijikuna unatoka weupe weupe kama unga alafu inawasha hatari muda wote ni Kru kru kru kru,

Hivi dawa yake nini hiyo wakuu?

Note:
Dawa ikataze vyote kama kunywa pombe na N.K lakini isiwe na katazo la kutokutumia Papuchi wakati wa dozi.

CC Zero IQ
Nasikitika kusema kuwa, hizo ni dalili za ugumba...dawa nzuri ni kwenda kuombewa
 
Back
Top Bottom