Kuna Dalili ya Serikali Kufilisika



Shinda Uchaguzi kwanza ili uweke Washauri wako!
 
Wachaga,wasukuma,wanyawezi,wanyakusya,wahaya sio makabila ya kupewa nchi,kutokana na ukubwa wa makabila yao automaticallly mtu huwa na majivuno na dharau
Nyerere aliona mbali!
 
Tatzo kufanya kazi kwa mazoea
Bajet za bill za umeme na maji zipo kwa kila idara na zinapitshwa ila zinaliwa tu au kupangiana poshi
 
pesa iliyotolewa kwenye bajeti ya wizara ya kilimo ni kituko.
Nashangaa na kuwa Bunge la bajeti and then matokeo ni madudu hayo ya wizara kupewa asilimia Mbili ya bajeti iliyopangiwa. Je kuna umuhimu gani kuwa na bunge la bajeti likitumia mabilioni kwenye vikao vyake na matokeo ndiyo hayo.
Shame on CCM.
 
Wewe unafikiri hatukufahamu eh! Tutakutana Kisutu Siku so nyingi ukanyee ndoo Ukonga
Yale yale ya kuulizwa ID watoa bastola?! Jibu hoja kwa hoja na siyo vitisho, vitisho havitakusaidia wewe wala wananchi unawowapenda, tutumie akili zaidi tafadhali kuliko nguvu
 
Mkuu kwa post yako imenibidi nidondoshe chozi kwa kweli. Sijui tunalaana, na laana hii haitaisha labda mpaka ccm iondoke madarakani.

Tanzania hii maendeleo hayataka yaje kwa kuwabakiza ccm madarakani. Hata huyu Baba bashite wa Tanzania ya viwonder nina wasiwasi kutofanikiwa kwa kuwakumbatia ccm wenzake na mambo mengine ya ajabu na kipuzipuzi na mamuzi ya kukurupuka. Tutaishia kuwa Tanzania ya viwonder.
 
.....
......hatareee
 
Uraia katika nafasi nyeti kama rais na mawaziri ni wa kuzingatia sana. Tupo njiapanda. Tuchunguzane uraia
 
kansa inayoiua nchi yetu ni hili genge la rangi ya kijani/njano.

ni wezi (kura za urais, raslimali za nchi, nk)
ni mafisadi (Escrow 1&2, Richmond, EPA, Lugumi, nk)
ni wanafiki (wote wanahusika. wale mnatotegemea kitu kutoka kwa wabunge wa CCM poleni. msahau!)
ni wakandamizaji na waonevu
si wazalendo bali ni walafi wa madaraka, wapo kichama zaidi. ikifika mahali kipi kife kati ya taifa au chama chao wao wataua taifa.
 
Wachaga,wasukuma,wanyawezi,wanyakusya,wahaya sio makabila ya kupewa nchi,kutokana na ukubwa wa makabila yao automaticallly mtu huwa na majivuno na dharau
Nyerere aliona mbali!
Kweli kabisa, bora mchaga kidogo elimu ya uchumi ipo kichwani kuliko msukuma hana elimu ya uchumi tatizo lake anatumia mi nguvu, vitisho.
 
Serikali ya matamko na longolongo kibao usisubiri miujiza....
Kifupi nchi imefulia sana
 
Nataman ningekua mimi ndo mshauri wa rais. Ningemshauri tu ashushe gharama za utozaji kodi na akontrol mzunguko wa shiling kitaa ili kunusuru uchumi wa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…