Nakuunga mkonoEvidence ni geographical mechanism (hydrological cycle) ya mvua ambayo iko very straight forward, joto kali hu-vapourise maji mengi na kuyapandisha hewani kama vapour kiasi huenda juu na kuongeza ukubwa na uzito wa mawingu, mawingu yakifikia threshold hu-condense na kudondoka kama mvua, sasa uganga upi unazungumzia