Norshad
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,237
- 12,659
ila wapo watu ikitaka kunyesha wanaipeleka mbele kwa sababu wanazojua wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchochezi acha uchocheziWakuu habari zenu,
Kwasasa hali ya mvua hapa nchini si nzuri. Kuna baadhi ya maeneo mvua huanza kunyesha mapema tu mwishoni mwa mwezi wa pili na mwanzoni mwa mwezi wa tatu lakini kwasasa hayo maeneo ni makavu na sasa tunaelekea mwisho wa mwezi March, hali ya mvua ni ya wasiwasi.
Nini kitatokea kama mvua haitonyesha? Ni ukame na kuadimika kwa vyakula pamoja na kupanda kwa bei za vyakula.
Nini kifanyike endapo nchi itakumbwa na ukame? Ilihali tunaelewa kabisa hakuna mashamba ya serikali? Yaani hakuna chakula cha msaada? Nini kifanyike wakuu?
Joto huashoria mvua nzito sana inakuja, sasa sielewi msingi wa hoja yakoHata mimi nina wasi wasi huo. Kuna joto kali sana nimesikia Moshi imefikia nyuzi 36 wakati Dar na mikoa mingine ya pwani inacheza kwenye 34 hadi 35
Laana ry na Ben!Magufuli hawezi kusababisha mvua inyeshe.
Kwa waganga wa kienyeji? Leta evidence!Joto huashoria mvua nzito sana inakuja, sasa sielewi msingi wa hoja yako
Wa mikoa tajwa hapo juu njooni mtoe ushahidi kwa hiki kisemwacho......!Mikoa inayolisha Nchi hii ni Mbeya, Iringa, Rukwa, Ruvuma, Songwe na Njombe. Kote Huko walipata mvua za kutosha na tarajieni mazao tele. Ukiachia mkoa wa Ruvuma, Huko upinzani umeshika kasi, hii inaashiria Mungu yuko against CCM, Dodoma kukame, watu wamekaukiwa hadi mate
Evidence ni geographical mechanism (hydrological cycle) ya mvua ambayo iko very straight forward, joto kali hu-vapourise maji mengi na kuyapandisha hewani kama vapour kiasi huenda juu na kuongeza ukubwa na uzito wa mawingu, mawingu yakifikia threshold hu-condense na kudondoka kama mvua, sasa uganga upi unazungumziaKwa waganga wa kienyeji? Leta evidence!
Sidhani kama atakuelewa, mtu mwenyewe ameshataja mambo ya waganga wa kienyeji...Evidence ni geographical mechanism (hydrological cycle) ya mvua ambayo iko very straight forward, joto kali hu-vapourise maji mengi na kuyapandisha hewani kama vapour kiasi huenda juu na kuongeza ukubwa na uzito wa mawingu, mawingu yakifikia threshold hu-condense na kudondoka kama mvua, sasa uganga upi unazungumzia
Tumekwishambiwa hakuna cha kuomba msaada wa chakula, hivyo ni kulia na kusaga meno tu. Hali ya hewa inatisha, joto kali mchana hadi usiku na angani hakuna hata wingu moja. Na hii inatokea hasa mikoa yetu ya Kanda ya Kati. Ee Mwenyezi Mungu, tunusuru na hili janga la ukame na njaa.Wakuu habari zenu,
Kwasasa hali ya mvua hapa nchini si nzuri. Kuna baadhi ya maeneo mvua huanza kunyesha mapema tu mwishoni mwa mwezi wa pili na mwanzoni mwa mwezi wa tatu lakini kwasasa hayo maeneo ni makavu na sasa tunaelekea mwisho wa mwezi March, hali ya mvua ni ya wasiwasi.
Nini kitatokea kama mvua haitonyesha? Ni ukame na kuadimika kwa vyakula pamoja na kupanda kwa bei za vyakula.
Nini kifanyike endapo nchi itakumbwa na ukame? Ilihali tunaelewa kabisa hakuna mashamba ya serikali? Yaani hakuna chakula cha msaada? Nini kifanyike wakuu?
[emoji23][emoji23][emoji23]Mikoa inayolisha Nchi hii ni Mbeya, Iringa, Rukwa, Ruvuma, Songwe na Njombe. Kote Huko walipata mvua za kutosha na tarajieni mazao tele. Ukiachia mkoa wa Ruvuma, Huko upinzani umeshika kasi, hii inaashiria Mungu yuko against CCM, Dodoma kukame, watu wamekaukiwa hadi mate
Wakuu habari zenu,
Kwasasa hali ya mvua hapa nchini si nzuri. Kuna baadhi ya maeneo mvua huanza kunyesha mapema tu mwishoni mwa mwezi wa pili na mwanzoni mwa mwezi wa tatu lakini kwasasa hayo maeneo ni makavu na sasa tunaelekea mwisho wa mwezi March, hali ya mvua ni ya wasiwasi.
Nini kitatokea kama mvua haitonyesha? Ni ukame na kuadimika kwa vyakula pamoja na kupanda kwa bei za vyakula.
Nini kifanyike endapo nchi itakumbwa na ukame? Ilihali tunaelewa kabisa hakuna mashamba ya serikali? Yaani hakuna chakula cha msaada? Nini kifanyike wakuu?
Eli,mimi ni msomi usivyotegemea! JF usimu underestimate mtu! Hatujuani..... Nini nisikielewe! One can easily google and get the answer!Sidhani kama atakuelewa, mtu mwenyewe ameshataja mambo ya waganga wa kienyeji...
Evidence ni geographical mechanism (hydrological cycle) ya mvua ambayo iko very straight forward, joto kali hu-vapourise maji mengi na kuyapandisha hewani kama vapour kiasi huenda juu na kuongeza ukubwa na uzito wa mawingu, mawingu yakifikia threshold hu-condense na kudondoka kama mvua, sasa uganga upi unazungumzia
....Mikoa inayolisha Nchi hii ni Mbeya, Iringa, Rukwa, Ruvuma, Songwe na Njombe. Kote Huko walipata mvua za kutosha na tarajieni mazao tele. Ukiachia mkoa wa Ruvuma, Huko upinzani umeshika kasi, hii inaashiria Mungu yuko against CCM, Dodoma kukame, watu wamekaukiwa hadi mate