Kuna Dalili Nchi ikakumbwa na Ukame?

Kuna Dalili Nchi ikakumbwa na Ukame?

Mikoa inayolisha Nchi hii ni Mbeya, Iringa, Rukwa, Ruvuma, Songwe na Njombe. Kote Huko walipata mvua za kutosha na tarajieni mazao tele. Ukiachia mkoa wa Ruvuma, Huko upinzani umeshika kasi, hii inaashiria Mungu yuko against CCM, Dodoma kukame, watu wamekaukiwa hadi mate

Bujibuji unaniacha hoi! jamani kweli watu wanakaukiwa hadi mate...???
 
Tumekwishambiwa hakuna cha kuomba msaada wa chakula, hivyo ni kulia na kusaga meno tu. Hali ya hewa inatisha, joto kali mchana hadi usiku na angani hakuna hata wingu moja. Na hii inatokea hasa mikoa yetu ya Kanda ya Kati. Ee Mwenyezi Mungu, tunusuru na hili janga la ukame na njaa.
Janga gani mbona watu mnaogopa vitu visivyokuwepo? Mvua zitaanza mwezi wa nne, tena mvua heavy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raisi itabidi aongee na nchi jirani zituazime mvua kidogo

Mwakani tutawarudishia.
 
Mikoa inayolisha Nchi hii ni Mbeya, Iringa, Rukwa, Ruvuma, Songwe na Njombe. Kote Huko walipata mvua za kutosha na tarajieni mazao tele. Ukiachia mkoa wa Ruvuma, Huko upinzani umeshika kasi, hii inaashiria Mungu yuko against CCM, Dodoma kukame, watu wamekaukiwa hadi mate
😀😀😀
 
Wakuu habari zenu,

Kwasasa hali ya mvua hapa nchini si nzuri. Kuna baadhi ya maeneo mvua huanza kunyesha mapema tu mwishoni mwa mwezi wa pili na mwanzoni mwa mwezi wa tatu lakini kwasasa hayo maeneo ni makavu na sasa tunaelekea mwisho wa mwezi March, hali ya mvua ni ya wasiwasi.

Nini kitatokea kama mvua haitonyesha? Ni ukame na kuadimika kwa vyakula pamoja na kupanda kwa bei za vyakula.

Nini kifanyike endapo nchi itakumbwa na ukame? Ilihali tunaelewa kabisa hakuna mashamba ya serikali? Yaani hakuna chakula cha msaada? Nini kifanyike wakuu?
Kweli kabisa na kama itanyesha basi tutapata mvua mvurugo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Evidence ni geographical mechanism (hydrological cycle) ya mvua ambayo iko very straight forward, joto kali hu-vapourise maji mengi na kuyapandisha hewani kama vapour kiasi huenda juu na kuongeza ukubwa na uzito wa mawingu, mawingu yakifikia threshold hu-condense na kudondoka kama mvua, sasa uganga upi unazungumzia
Wazee wa kukalili madesa utawajua tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom