Kuna Dalili Nchi ikakumbwa na Ukame?

Kuna Dalili Nchi ikakumbwa na Ukame?

Cha kushangaza mwaka huu yale mafuriko ya Dar hayapo kabisa na wala hamna hata dalili ya mvua.
 
Ukame unaoendelea nchi gani?? Weekend nilipita Iringa, Dodoma, shinyanga, Manyara na arusha kote ni kijani. Sasa kama kanda ya kati ni kijani huo ukame upo wapi????

Siyakudumisa Thixo
 
Shinyanga - nzega mzee umeona Yale mashamba ya mpunga Yana maji?
Angalia saiz ndo wanaweka viazi jiulize tokea December walikuwa wap?

Nzega ziba shelui igunga angalia kushoto na kulia unaona Kuna kitu kitatoka Zaid ya shelui na alizet zao kumbukumbu za mashamba ya mpunga yalikuwa na maji?

Igunga misigiri iguguno singida Hawa hulima Sana mpunga karanga kitunguu na viazi ulizia Bei ya kitunguu soko la misuna na Hali ya mazao shamban Rudi nyuma angalia njian Kuna viaz?

Singida kateshi babati ukitoka singida Hali n kijan lakin sio mazao kateshi babati neema ipo mahindi yakutosha n yameiva hata mvua ikikataa kule wameula

Babati minjingu makuyuni Arusha hapa mwanzo wa babati na minjingu Kuna ka auhen kidogo ila sababu ya ukanda wa manyara ila kuanzia minjingu to Arusha n majanga

Arusha Kia bomang'ombe Moshi hapa kite n dolo hakuna Raman ya kuotesha kitu Kuna watu walilima huu n mwez wapili hamna kitu mbaya Zaid Kuna walioweka mbegu zimeenda

Arusha longido Namanga hapa n majanga tupu pale longido naona mahindi yaliota na palizi wakaanza ila saiz mungu ndo anajua

Shinyanga muhunze lalago hapa n kijan ya majan tuu lakin mahindi mtama muda Soo mrefu watasarenda naona wamebadili Gia kuanzia kolandoto to muhunze wanalima viaz saiz

Lalago meatu huku Kuna kijan tuu japo matumain kwa mbali kwa waliochelewa kuotesha ila Hali inatisha kwasiku za mbelen Kama mvua ikichelewa Tena Kama walivyolia waliotesha mwanzo

Shinyanga maganzo misungwi Hali bado Tete baada ya maganzo mbele kidogo Kuna kauhafadhali ila ukimaliza mkoa shy unaanza mza ambayo n wilaya ya misungwi naona kaki kwa mbali

Huo n mujibu wa majicho yangu mwenyewe
 
Mkuu wewe ni msambazaji wa pembejeo nn?? Kote huko umewazungukia wakulima kujua maendeleo yao??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha kushangaza mwaka huu yale mafuriko ya Dar hayapo kabisa na wala hamna hata dalili ya mvua.
Heeee!! Kwani dar masika huwa yanaanza mwezi wa ngapi? Ninachokijua mwezi huu ndio huwa mvua zinaanza, sasa wewe unapoelezea ni kana kwamba muda wake umeshapita!!! Wewe subili muda c mrefu utabadirisha kauli, dar huwa sio mvua ya muda mrefu sana, ila kutokana na miundo mbinu ilivyo ikipiga siku mbili tu mfululizo ni kutafutana, ingekuwa inanyesha kama zile za bukoba pasingekarika kabisa mji huu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heeee!! Kwani dar masika huwa yanaanza mwezi wa ngapi? Ninachokijua mwezi huu ndio huwa mvua zinaanza, sasa wewe unapoelezea ni kana kwamba muda wake umeshapita!!! Wewe subili muda c mrefu utabadirisha kauli, dar huwa sio mvua ya muda mrefu sana, ila kutokana na miundo mbinu ilivyo ikipiga siku mbili tu mfululizo ni kutafutana, ingekuwa inanyesha kama zile za bukoba pasingekarika kabisa mji huu
 
Hata mimi nina wasi wasi huo. Kuna joto kali sana nimesikia Moshi imefikia nyuzi 36 wakati Dar na mikoa mingine ya pwani inacheza kwenye 34 hadi 35
Hali ni tete mkuu
 
Mkuu mvua haina vyama
hahaha...nimecheka saana....ila kna watu wanaishukuru serikali ya awamu ya tano kwa kuwaletea mvua mapema......na mbaya zaidi hua hawaishii tuu kwenye serikali ya awamu ya tano...wanafika mbali mpaka kwenye kutukumbushwa inaongozwa na nani utafikiri hatujui bana...
 
Tatizo tulilo nalo wabongo ni kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu. Mleta hoja alikuwa anategemea tutoe michango ya kuitahadharisha serekali yetu ione jambo hili.
Ni kweli serekali haina shamba ila inao uwezo wa kujiandaa kukabiliana na janga hili. Majirani zetu japo wanakataa lakini watu weshaanza kufa njaa huko. Hili si aibu wala si tusi ila tujiandae sisi.
Serekali yaweza nunua nafaka zote zilizoko nchini na kuzihifadhi hadi karibu na mavuno kama kitatokea chakula. Namna hii bei itapungua. endapo tutanunua kutoka serekalini kwani serekali haifanyi biashara ya ulanguzi wa chakula.
Msilete utani kwenye nyuzi fikirishi. Njaa haina chama wala haipigi kura
Asante mkuu kwa kunielewa vyema.
 
Mikoa inayolisha Nchi hii ni Mbeya, Iringa, Rukwa, Ruvuma, Songwe na Njombe. Kote Huko walipata mvua za kutosha na tarajieni mazao tele. Ukiachia mkoa wa Ruvuma, Huko upinzani umeshika kasi, hii inaashiria Mungu yuko against CCM, Dodoma kukame, watu wamekaukiwa hadi mate
Nimesikia huko kwenye ukame watu wanatembea vinywa wazi kama majogoo yenye kiu 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom