Polisi jamii
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 2,604
- 1,379
Duuh Ndo Umeandika Lugha Gani?Go the school to learn the laws
Duuh Ndo Umeandika Lugha Gani?Go the school to learn the laws
Nijuavyo mimi ukishahukumiwa unaweza kukata rufaa na kuendelea kufatilia rufaa ya kesi yako ukiwa unaendelea na adhabu kama ni ndani ya gereza au kifungo cha nje. so hakuna uwezekano wa lulu kupatiwa dhamana sababu hayuko kizuizini ni tayari kashahukumiwa.pia kutokana na kosa la lulu ni ngumu kutolewa kifungo cha nje japo hukumu yake inaruhusu!Hana shida ya msamaha kwani mazingira ya kesi yake yamekaa vizuri kwanza anakata rufaa na kuomba dhamana kwa sababu ni bailable,pili hukumu ya chini ya miaka mitatu inaweza kutumikiwa nje ya gereza kwa kufanya kazi za kijamii yaani social works baada ya kukidhi mashart kadhaa kwa mujibu wa sheria ya Parole.
Ukikata rufaa kesi inasikilizwa upya kisheria inakuwa kesi mpya hivyo unaruhusiwa kuomba dhamana kama kosa husika linadhaminika. Rufaa ikianza kusikilizwa maana yake kifungo unachotumikia kinafutwa kwahiyo unatolewa gerezani (mfungwa) unawekwa mahabusu. Umeelewa?Nijuavyo mimi ukishahukumiwa unaweza kukata rufaa na kuendelea kufatilia rufaa ya kesi yako ukiwa unaendelea na adhabu kama ni ndani ya gereza au kifungo cha nje. so hakuna uwezekano wa lulu kupatiwa dhamana sababu hayuko kizuizini ni tayari kashahukumiwa.pia kutokana na kosa la lulu ni ngumu kutolewa kifungo cha nje japo hukumu yake inaruhusu!