Kuna dalili kubwa Lulu kupata Msamaa wa Rais

Hana shida ya msamaha kwani mazingira ya kesi yake yamekaa vizuri kwanza anakata rufaa na kuomba dhamana kwa sababu ni bailable,pili hukumu ya chini ya miaka mitatu inaweza kutumikiwa nje ya gereza kwa kufanya kazi za kijamii yaani social works baada ya kukidhi mashart kadhaa kwa mujibu wa sheria ya Parole.
Nijuavyo mimi ukishahukumiwa unaweza kukata rufaa na kuendelea kufatilia rufaa ya kesi yako ukiwa unaendelea na adhabu kama ni ndani ya gereza au kifungo cha nje. so hakuna uwezekano wa lulu kupatiwa dhamana sababu hayuko kizuizini ni tayari kashahukumiwa.pia kutokana na kosa la lulu ni ngumu kutolewa kifungo cha nje japo hukumu yake inaruhusu!
 
Ukikata rufaa kesi inasikilizwa upya kisheria inakuwa kesi mpya hivyo unaruhusiwa kuomba dhamana kama kosa husika linadhaminika. Rufaa ikianza kusikilizwa maana yake kifungo unachotumikia kinafutwa kwahiyo unatolewa gerezani (mfungwa) unawekwa mahabusu. Umeelewa?
 
Aaaa wapi tenaa huyoo anatoka huko kanda ya nyie mnaojifanyaa mnajuaa sanaa.. boraa angetoka hii kanda yetu hiii ambayoo nyiee mnatuitaa washambaa saaanaaa....
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom