Kuna Chuo wanajamiiana kuzidi IFM?

Kuna Chuo wanajamiiana kuzidi IFM?

Acha wakulana hii nchi hakuna jambo la muhimu la kufanya ukiwa mbunifu huthaminiwi wala kupewa mtaji, ukisoma unakosa ajira, usiposoma unazodelewa kila mahali, ukijiajiri wakatoza kodi kubwa, ukikosoa serikali unaitwa msaliti unapewa kesi ya ugaidi au uhaini wakishindwa kukupata na kosa wanakutungia kosa dogo ili wakufunge utaambiwa ' kosa lako ulikuwa unakula matonge makubwa ukiwa mahabusu'
 
Dah inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom