..........Alianza kwa kusema "MSIBA OYEEE"..............
Ahahahahaaaah!!! Mkuu imenichukua zaidi ya masaa mawili kuandika.....My goodnesss.........is this Katavi or am lost somewhere
Mkuu for the first time naona umeweza kuandika post ina zaidi ya mistari miwili......
Nice beginning na nadhani utakuwa umeanza kozi ya kuongea na kuandika mbele ya kadamnasi
Ahahahahaaaah!!! Mkuu imenichukua zaidi ya masaa mawili kuandika.....
Naomba msaada wapi kuna chuo au namna gani nitapata uzoefu....
Viongozi wa dini wanaweza kusaidia?? Vipi kuhusu mambo ya sherehe??
Heshima wakuu...
Nauliza kama kuna chuo chochote hapa nchini kinachotoa mafunzo ya namna ya kuongea mbele ya kadamnasi. Hii inatokana na namna watu mbalimbali tulivyo waoga kuongea mbele ya watu hasa katika sherehe au msibani.
Kuna kisa kilinitokea msibani baada ya kumaliza kutoa heshima kwa mwili wa marehemu na kuwa tayari kusafirishwa, niliombwa nitoe neno la shukrani. Lakini niliweza kukwepa na kumtupia jamaa mmoja aliyekuwa jirani yangu, lakini kumbe yeye ndiye alikuwa mbovu kuliko mimi. Alianza kwa kusema "MSIBA OYEEE"......shukrani kwa mzee mmoja aliyeokoa jahazi.
Naombeni elimu ya namna ya kujiamini nisije kupatwa na aibu kama hiyo........

Hahahaha hii kali Msiba Oyee
Kama una aibu unakamata kilaji kiduchu usizidishe
Na ukinywa mbege utakuwa unaongea kilugha, ukimata bia utakuwa unaongea kiswahili ukikamata wine unawachanganya wahudhuriaji maana utakuwa unafanya code mixing mara kijerumani mara kiingereza mara kicongo
Na kama sio mlevi, si ndio ataharibu??
Kasomehe ualimu au fanya kazi ya ukonda na kupiga debe stendi utapata experience mkuu.
hakuna chuo ila mwalimu wako nipo hapa
Hmm...
mmmh mdudu.