kuna Bits na Bytes ngapi hapa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kuna Bits na Bytes ngapi hapa?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mbavu za Mbwa, May 29, 2011.

 1. M

  Mbavu za Mbwa JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2011
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 288
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 45
  Wanajukwaa, naombeni msaada. Katika sentensi hii, kuna bits na bytes ngapi? "THIS IS JAMIIFORUMS" Nimeuliza hivi kwa kuwa nashindwa kuelewa iwapo space inahesabika kama nayo ni character.
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  ili iwepo 'T' kwa mfano panapaswa kuwa na biti 8, ndio kusema kila biti 8 zinaunda baiti 1. Kwa hiyo character yeyote moja ina baiti 1 (inahusisha characters, letters, numbers, n.k.)

  Kwa hiyo 'THIS IS JAMIIFORUMS' ina baiti zianazolingana na idadi ya characters iliyonazo (pamoja na space)
   
 3. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Alfanumeriko karakitazi za komputa siku hizi ziko kwenye code ya ASIKI (ASCII). Kila character moja inakuwa represented na baiti moja bila kusahau space na quotation marks ambazo umeziweka kwenye swali lako nazo ziko kwenye code hiyo hiyo.
   
Loading...