Kuna binadamu wana moyo...

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,407
Natumai hamjambo wananzengo

Wakuu kuna binadam wana moyo sana, hili nimelithibitisha baada ya huyu bwana kunisimulia kisa chake.

Ipo hivi, huyu bwana alisoma chuo kimoja na mpenziwe, wakiwa chuo mpenziwe alimcheat na lekcha jamaa akasamehe maisha yakaendelea.

Siku nyingine akawa anahtaji gegedo kwa mpenziwe, akajibiwa yupo hedhi bt kumbe mpenziwe alikua na miadi ya kugegedwa na njemba nyingine.

Kesho yake walipokutana jamaa akashika sim ya mpenziwe akakutana na txt inasema "ahsante kwa huduma ulonipa jana, nilienjoy sana" Jamaa kuuliza mwanamke akakiri kosa akaomba msamaha jamaa akasamehe maisha yakaendelea, mwisho wakaoana hadi leo wana familia ya watoto wawili.

Hichi kisa kilinifanya nijue kuna watu wana moyo sana, hata nikabaki namshangaa tu huyu bwana, bt upande wangu moyo wakipumbavu kama huo sina na sintokuja kua nao coz kusalitiwa ndo kosa ambalo hua siwezi samehe hasa nikiwa nimeprove.

Je, wewe ukiuvaa uhusika wa huyu bwana utayakabili vipi haya matukio?
 
Siku zote inashauriwa kuwa kama huna ujasiri wa kuacha usitishie kuacha. Na kama unajua huwezi chukua maamuzi hata baada ya kugundua ukweli basi usichunguze. Ni bora kuishi kwa shaka kuliko kuwa na ithibati bila ya uthubutu wa kufanya maamuzi.
 
1. Huyo jamaa yako alikuwa akifikiria mambo anayopewa na bidada, anaona bora aliwe ila yeye analala nae usiku kucha.

2. Huyo mwanamke wake alijua udhaifu wa huyo mwanaume na kuutumia kama chambo.

Usishangae ndoa yao ikadumu hadi wakapata wajukuu.

Angalizo: Usimuige tembo ku.nya.....utapasuka msamba.
 
kwa taarifa yako wewe ndio unaliwa bby wako sana ba huo ujinga wako,bora ya kusamehe mara 100 maisha yaende kuliko kulipizana visasi
 
Mkuu, hata wewe unamoyo kuendelea kuwa na rafiki wa aina hiyo aiseeee....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom