Kuna bibi ananitafuta

mwalimu wa twisheni!!!! Mola saidia watoto wetu wafike salama..........mle tuu uache watoto wetu salama chonde chonde...
 
Ungekuwa unafanya ihsani kwa kutuletea mirejesho kama wa yule mama wa rafiki yako au wale mademu watatu waliokupiga mtungo nini kiliendelea hapo tutakuwa tunaenda sawa.
 
Yule mama nilimkimbia saivi sifanyi kibarua kwake tena.
Wale mapacha walinipa mkasa mmoja mgumu mno hali inayowafanya wao wasiolewe mimi nikawasamehe saivi tunaendelea vizuri tuu japo yale mazoea ya awali hayapo sababu ya woga wao.
Si unaona sasa ingekuwa ngumu kujua hatima ya hayo masaibu yaliyo kukuta Shukran kwa kunijuza na pia kwa kuwasamehe hao madada tunausiwa kusameheana.
 
isee bora upige pull kuliko huyo bibi
 
Kwanza nileweshe hili
Wewe fundi computer?
Wewe mwalimu wa tuition?

Hii si kweli.
 
Km ni kosa unaomba tukueleze..

Kwani we unaonaje mkuu!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…