Kuna bibi ananitafuta

Kuna bibi ananitafuta

Dhamira iliyoweka tayari ni maamuzi tosha... nia unayo, nguvu unazo bado kutenda tu... na ushaanza kumuwazia...
 
Naskia Mtume Alioa Mwanamke Aliemzidi Umri. Why Cant You??
 
Umefanya mazambiee bado utosheki sasa umeamua kuwageukia wazazi wako

Kila laheri ufanye salama
 
Kuoa mwanamke aliyekuzid umri si tatizo ila yeye amesema anataka ambanjue kaka ni ya kupita tu achana nayo kwanza kutembea na wanawake wengi tofauti tofauti si vema kabisa raha ya nusu saa isikutoe katika mstari mzuri
 
m
Wakuu mtaani kwetu kuna bibi mmoja kimtizamo naona ana miaka 55 hadi 60 sasa huyu bibi amekua akitengeneza urafiki na mimi wa lazima nikiwa natembea anakuja anatembea na mimi ananipa stori zake za hapa na pale na ananiuliza maswali kibao na sa nyingine ananifata hata kwenye magenge yangu na kuazna kuzuga ooh kuna TV yetu inashida naomba ukaitengeneza wakati anajua mimi natengeneza computer.
Siku nyingine akaniambia nimpe maendeleo ya mjuu wa ndugu yake twisheni mimi nikamwambia anachofanya huyo binti.

Siku nyingine akaamua kuniungia hadi twisheni napofundisha huko nusu nimfunue maana vituko alivyokua anafanya vilikua hatari sana.

Alikua anayaacha mapaja yake wazi mara anyanyue miguu yake juu mara aanze kulegeza sauti duu mtu mzima nikasema moja nikalete condom bahati mbaya mwanafunzi mmoja akaja na hapo mchezo ndo uliishia hapo.

Mimi bado sijaweka maamuzi ila akijiweka kihasara ntambanjua tuu maana nchokiona ndani ya kofuli lake ni hatari sana kwani kitu kimevimba halafu kina mvi mvi hivi na inaonyesha ni tamu sana.

WAKUU KAMA NA KOSA NAOMBENI MNIELEZE.
kune kijana.....msugue vizuri,,,ni watamu sana hawa,,yaani unapewa papuchi bure unazingua
 
u
1/4

Kwani kulikua na ulazima wa kuongelea izo nyeti zake zilivyo?
Mtu ambae unadai yuko kama mbibi unamuongelea kiboya kiboya ivo??
Huna adabu!!

Shame on you
chi ni uchi tuu
 
Mpaka hapo ushambanjua kilichibakia ni kutekeleza tu, sasa jiangalie pale utakapotolewa busha pia uje kutuambia
 
Wakuu mtaani kwetu kuna bibi mmoja kimtizamo naona ana miaka 55 hadi 60 sasa huyu bibi amekua akitengeneza urafiki na mimi wa lazima nikiwa natembea anakuja anatembea na mimi ananipa stori zake za hapa na pale na ananiuliza maswali kibao na sa nyingine ananifata hata kwenye magenge yangu na kuazna kuzuga ooh kuna TV yetu inashida naomba ukaitengeneza wakati anajua mimi natengeneza computer.
Siku nyingine akaniambia nimpe maendeleo ya mjuu wa ndugu yake twisheni mimi nikamwambia anachofanya huyo binti.

Siku nyingine akaamua kuniungia hadi twisheni napofundisha huko nusu nimfunue maana vituko alivyokua anafanya vilikua hatari sana.

Alikua anayaacha mapaja yake wazi mara anyanyue miguu yake juu mara aanze kulegeza sauti duu mtu mzima nikasema moja nikalete condom bahati mbaya mwanafunzi mmoja akaja na hapo mchezo ndo uliishia hapo.

Mimi bado sijaweka maamuzi ila akijiweka kihasara ntambanjua tuu maana nchokiona ndani ya kofuli lake ni hatari sana kwani kitu kimevimba halafu kina mvi mvi hivi na inaonyesha ni tamu sana.

WAKUU KAMA NA KOSA NAOMBENI MNIELEZE.

[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji115]......Tayari umekwisha laaniwa!
 
Back
Top Bottom