Sio vitunguu tu, hata mchele, hasa ule wa magugu, wateja wakuu ni hao wakeja, sijui labda watakuwa kwa sasa wanapita njia za panya.Ukweli ni kwamba, ujio wa Wakenya kujumua vitunguu ulifaidisha wakulima. Kitunguu ilipanda mpaka laki tatu. Wakulima wanejenga nyumba na kununua magari....
Hakika mie ni muathirika wa hili. Nalima na kuweka stocks za mpunga Kahama, Geita na Morogoro. Lakini pia nalima vitinguu singida.Ukweli ni kwamba, ujio wa Wakenya kujumua vitunguu ulifaidisha wakulima. Kitunguu ilipanda mpaka laki tatu. Wakulima wanejenga nyumba na kununua magari.
Sasa huyu jamaa yetu ugomvi wake na Wakenya umeleta balaa badala ya heri. Jamaa hawaji tena huku. Bei ya kitunguu ineshuka sana. Bei ya Michele imeshuka sana pia.
Jeuri hii ina hasara kuliko faida.
Nenda kashtaki kwa Lisu.Ukweli ni kwamba, ujio wa Wakenya kujumua vitunguu ulifaidisha wakulima. Kitunguu ilipanda mpaka laki tatu. Wakulima wanejenga nyumba na kununua magari.
Sasa huyu jamaa yetu ugomvi wake na Wakenya umeleta balaa badala ya heri. Jamaa hawaji tena huku. Bei ya kitunguu ineshuka sana. Bei ya Michele imeshuka sana pia.
Jeuri hii ina hasara kuliko faida.
Yote kaleta Jiwe,hatumtaki tena.Ficha upumbavu na ushamba wako inamaana haujui kuwa kenya bado wana komaa na corona au ni kujitoa akili?? utashindwa kumtia mimba mkeo pia usingizie serikali kama vile ndo inayokupanulia mapaja ya mkeo.
Semea nafsi yako, 'HATUMTAKI" wewe na nani??Yote kaleta Jiwe,hatumtaki tena.
Hivi JPM ni Raisi wa Kenya??Ukweli ni kwamba, ujio wa Wakenya kujumua vitunguu ulifaidisha wakulima. Kitunguu ilipanda mpaka laki tatu. Wakulima wanejenga nyumba na kununua magari.
Sasa huyu jamaa yetu ugomvi wake na Wakenya umeleta balaa badala ya heri. Jamaa hawaji tena huku. Bei ya kitunguu ineshuka sana. Bei ya Michele imeshuka sana pia.
Jeuri hii ina hasara kuliko faida.
Uko sahihi mkuu, Mimi Nina ndugu zangu pale ruaha mbuyuni wameacha kulima zao la vitunguu kwa sababu soko hakuna na walikuwa wanawategemea wakenya na ndiyo walikuwa wadau wao wakubwaUkweli ni kwamba, ujio wa Wakenya kujumua vitunguu ulifaidisha wakulima. Kitunguu ilipanda mpaka laki tatu. Wakulima wanejenga nyumba na kununua magari.
Sasa huyu jamaa yetu ugomvi wake na Wakenya umeleta balaa badala ya heri. Jamaa hawaji tena huku. Bei ya kitunguu ineshuka sana. Bei ya Michele imeshuka sana pia.
Jeuri hii ina hasara kuliko faida.
WEWE SI MNUFAIKA MKUUU WAKIPINDI KILE NYIE WAKENYA MLIPOKUWA MNAUTANGAZA MLIMA KILIMANJARO KUWA NI WAKWENU? SASA BAADA KUZIBIWA FULSA HIZO SI NDIO MAANA UNALIA LIA HAPAUkweli ni kwamba, ujio wa Wakenya kujumua vitunguu ulifaidisha wakulima. Kitunguu ilipanda mpaka laki tatu. Wakulima wanejenga nyumba na kununua magari.
Sasa huyu jamaa yetu ugomvi wake na Wakenya umeleta balaa badala ya heri. Jamaa hawaji tena huku. Bei ya kitunguu ineshuka sana. Bei ya Michele imeshuka sana pia.
Jeuri hii ina hasara kuliko faida.
Mzigo wako uza kwa Watanzania wenzako acha rohoo mbaya utaoza!!Ukweli ni kwamba, ujio wa Wakenya kujumua vitunguu ulifaidisha wakulima. Kitunguu ilipanda mpaka laki tatu. Wakulima wanejenga nyumba na kununua magari.
Sasa huyu jamaa yetu ugomvi wake na Wakenya umeleta balaa badala ya heri. Jamaa hawaji tena huku. Bei ya kitunguu ineshuka sana. Bei ya Michele imeshuka sana pia.
Jeuri hii ina hasara kuliko faida.
Ficha upumbavu na ushamba wako inamaana haujui kuwa kenya bado wana komaa na corona au ni kujitoa akili?? utashindwa kumtia mimba mkeo pia usingizie serikali kama vile ndo inayokupanulia mapaja ya mkeo.
tupo wengi, hata mie simtaki.Semea nafsi yako, 'HATUMTAKI" wewe na nani??
Huyo jiwe ndo kaleta corona hivi akili zenu mnaachaga juu mti na nyinyi??
wanaenda kununua wapi?Sasa huyu jamaa yetu ugomvi wake na Wakenya umeleta balaa badala ya heri. Jamaa hawaji tena huku. Bei ya kitunguu ineshuka sana. Bei ya Michele imeshuka sana pia.