Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,036
- 168,671
nadhani ni utani wa jadi kama vile simba na yanga, ingawa wengine wanafanya kweli kwenye issue zingine
copy. Asprin
Arusha kuna barabara mbili tu, na mji wote upo Clock Tower !
Cheee! Taba-lai....raia wa chuga wanaishi real life, dar ma copy cat na pretenders tuuu! Vijiwen 24/7 kuanzisha viji camp vya kishimba, kunywa bia moja ucku kucha na kupiga kelele kama vle wamekunywa kreti, madume kwa ukuwadi usipime hasa ukiwa na chapaa ndefu, masharo kwa umatonya had keroooo....watoto wa arusha washamba tu. dar mjini wewe.
Mmmmmmmmmmmmmmh...........may be,ila pale ni katikati ya mjiArusha kuna barabara mbili tu, na mji wote upo Clock Tower !