BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,547
- 14,209
Naona tena tetemeko limeipiga Haiti na kuangusha majumba, Hii nchi kuna shida mahali make si kwa haya majanga yanayo iandama, Sijui hali ya maisha ikoje huko,
Haiti tangu wajikomboe na kupata uhuru kutika kwa wafaransa 1806 wamekuwa na matatizo tu. Tangu wakati huo marais sita wameuwawa kwa kupigwa risasi huyu wa karibuni akiwa Jovenel Moïse.Naona tena tetemeko limeipiga Haiti na kuangusha majumba, Hii nchi kuna shida mahali make si kwa haya majanga yanayo iandama, Sijui hali ya maisha ikoje huko,
Umeelezea vizuri sana so.Haiti ina vuguvugu la kisisa lenye ubaguzi ndani yakeHaiti tangu wajikomboe na kupata uhuru kutika kwa wafaransa 1806 wamekuwa na matatizo tu. Tangu wakati huo marais sita wameuwawa kwa kupigwa risasi huyu wa karibuni akiwa Jovenel Moïse.
Kijiografia Haiti iko kwenye ukanda wa majanga yenyewe na Dominican republic ambayo wanashare kisiwa kimoja Espanola ila kimegawanyika katikati.
Wahaiti (Haitian) ni uzao wa watumwa walioletwa na ufaransa kisiwani hapo kutoka Africa Magharibi kulima miwa kwa ajili ya sukari (brown sugar) enzi hizo ilikuwa dhahabu pamoja na pamba
Waafrika hawa walikuwa wengi jamii ya Yoruba walikuja na lugha zao tofauti zikachanganyikana na kifaransa na lugha ya creole ikajitokeza. Na dini ya kiasili voodoo.
Licha ya majanga Haiti ni maskini sana katika carribeann. Pia kuna ukanda na ukabila. Watu wa Kaskazini wanabaguliwa sana ambapo alipotoka huyu rais aliyeuwawa majuzi jovenel moïse na pia marais wote sita wa Haiti waliouliwa (assassination) wote wametoka kaskazini mwa Haiti.
Wale wa kusini huku mji mkuu ulipo port au prince wanajifanyaga sana wana maendeleo na wasomi.
Pia kuna kasumba fulani ya wahaiti weupe au machotara ( mulato) wanajiona wao ni superior na wako wachache.
Wahaiti wanajilaumu kwa nini hawakukubali Marekani kununua nchi yao kutoka ufaransa. Walikataa ufaransa kuiuzia haiti Marekani. Ilikuwa ufaransa imuuzie Marekani Jimbo la Louisiana na Haiti lakini wa Haiti wakakataa Marekani ikabidi inunue jimbo la Louisiana. Wanajuta na kulaumu babu zao.
Mkuu nakukubali sana.Haiti tangu wajikomboe na kupata uhuru kutika kwa wafaransa 1806 wamekuwa na matatizo tu. Tangu wakati huo marais sita wameuwawa kwa kupigwa risasi huyu wa karibuni akiwa Jovenel Moïse.
Kijiografia Haiti iko kwenye ukanda wa majanga yenyewe na Dominican republic ambayo wanashare kisiwa kimoja Espanola ila kimegawanyika katikati.
Wahaiti (Haitian) ni uzao wa watumwa walioletwa na ufaransa kisiwani hapo kutoka Africa Magharibi kulima miwa kwa ajili ya sukari (brown sugar) enzi hizo ilikuwa dhahabu pamoja na pamba
Waafrika hawa walikuwa wengi jamii ya Yoruba walikuja na lugha zao tofauti zikachanganyikana na kifaransa na lugha ya creole ikajitokeza. Na dini ya kiasili voodoo.
Licha ya majanga Haiti ni maskini sana katika carribeann. Pia kuna ukanda na ukabila. Watu wa Kaskazini wanabaguliwa sana ambapo alipotoka huyu rais aliyeuwawa majuzi jovenel moïse na pia marais wote sita wa Haiti waliouliwa (assassination) wote wametoka kaskazini mwa Haiti.
Wale wa kusini huku mji mkuu ulipo port au prince wanajifanyaga sana wana maendeleo na wasomi.
Pia kuna kasumba fulani ya wahaiti weupe au machotara ( mulato) wanajiona wao ni superior na wako wachache.
Wahaiti wanajilaumu kwa nini hawakukubali Marekani kununua nchi yao kutoka ufaransa. Walikataa ufaransa kuiuzia haiti Marekani. Ilikuwa ufaransa imuuzie Marekani Jimbo la Louisiana na Haiti lakini wa Haiti wakakataa Marekani ikabidi inunue jimbo la Louisiana. Wanajuta na kulaumu babu zao.
Punguza coppy and pasteHow vulnerable is Haiti to earthquakes?
The earthquake that struck Haiti on Aug 14, 2021 morning occurred on the same system of faults as the one that devastated the capital, Port-au-Prince, on Jan 12, 2010. And the previous quake almost certainly made this one more likely to occur.
Both quakes struck on an east-west fault line at the convergence of two tectonic plates, large segments of the Earth’s crust that slowly move in relationship to each other. At this fault line, called the Enriquillo-Plantain Garden fault zone, the Caribbean plate and the North American plate move laterally, or side by side, with respect to each other at a rate of about a quarter of an inch a year.
Susan E. Hough, a seismologist with the United States Geological Survey who studied the 2010 earthquake, said there was no doubt that the two quakes were linked. “It’s well established that you do have this domino concept,” she said, where the energy released by one earthquake alters the stress patterns elsewhere along the fault line. “But we don’t have a crystal ball that tells us which domino is going to fall next.”
She said that the fault ruptured both vertically and laterally. Preliminary analyses suggested that the fault ruptured to the west, which would mean that most of the energy was directed away from Port-au-Prince and toward the more sparsely populated region along the Tiburon peninsula. If that’s the case, then most of the aftershocks that inevitably follow a large earthquake would most likely occur to the west as well. “To the extent that anything could be good news for Haiti, those are good signs,” Dr. Hough said.
The fault zone extends west to Jamaica, which is also at risk of major earthquakes. In addition to the 2010 quake, the fault zone was most likely the source of four major earthquakes in the 18th and 19th centuries, including ones that leveled Port-au-Prince in 1751 and again in 1770. One reason the 2010 quake, which subjected some three million people to "severe shaking," was so damaging is that it occurred at a relatively shallow depth, the fault having ruptured about 10 kilometers below the surface.
Note: Damage and casualties from quakes depend on many factors besides magnitude. The depth and location of the rupture, the time it occurred and the quality of construction all can play major roles. In the 2010 earthquake, shoddy construction - especially poorly built masonry buildings - was blamed for many of the deaths and injuries.
View attachment 1892517
Duh kumbe kuuza nchi inawezekana!Haiti tangu wajikomboe na kupata uhuru kutika kwa wafaransa 1806 wamekuwa na matatizo tu. Tangu wakati huo marais sita wameuwawa kwa kupigwa risasi huyu wa karibuni akiwa Jovenel Moïse.
Kijiografia Haiti iko kwenye ukanda wa majanga yenyewe na Dominican republic ambayo wanashare kisiwa kimoja Espanola ila kimegawanyika katikati.
Wahaiti (Haitian) ni uzao wa watumwa walioletwa na ufaransa kisiwani hapo kutoka Africa Magharibi kulima miwa kwa ajili ya sukari (brown sugar) enzi hizo ilikuwa dhahabu pamoja na pamba
Waafrika hawa walikuwa wengi jamii ya Yoruba walikuja na lugha zao tofauti zikachanganyikana na kifaransa na lugha ya creole ikajitokeza. Na dini ya kiasili voodoo.
Licha ya majanga Haiti ni maskini sana katika carribeann. Pia kuna ukanda na ukabila. Watu wa Kaskazini wanabaguliwa sana ambapo alipotoka huyu rais aliyeuwawa majuzi jovenel moïse na pia marais wote sita wa Haiti waliouliwa (assassination) wote wametoka kaskazini mwa Haiti.
Wale wa kusini huku mji mkuu ulipo port au prince wanajifanyaga sana wana maendeleo na wasomi.
Pia kuna kasumba fulani ya wahaiti weupe au machotara ( mulato) wanajiona wao ni superior na wako wachache.
Wahaiti wanajilaumu kwa nini hawakukubali Marekani kununua nchi yao kutoka ufaransa. Walikataa ufaransa kuiuzia haiti Marekani. Ilikuwa ufaransa imuuzie Marekani Jimbo la Louisiana na Haiti lakini wa Haiti wakakataa Marekani ikabidi inunue jimbo la Louisiana. Wanajuta na kulaumu babu zao.
Iliwezekana enzi hizo karne ya 18 kurudi chini. Na ni viongozi wenye maono uthubutu na ujasiri waliliweza hili. Walipatata pingamizi lakini hawakujali.Duh kumbe kuuza nchi inawezekana!
Ushirikina pale ndio kuna vilinge vikuu vya duniaNaona tena tetemeko limeipiga Haiti na kuangusha majumba, Hii nchi kuna shida mahali make si kwa haya majanga yanayo iandama, Sijui hali ya maisha ikoje huko,
Hiyo nchi iko kwenye mkondo wa nungwi wa kuzimu, sehemu ya kafara sio nchi ya kuishi hiyoNaona tena tetemeko limeipiga Haiti na kuangusha majumba, Hii nchi kuna shida mahali make si kwa haya majanga yanayo iandama, Sijui hali ya maisha ikoje huko,
Hapo kwenye mauzo walifeli,makoloni ya Ufaransa ni vita na tabu tupuHaiti tangu wajikomboe na kupata uhuru kutika kwa wafaransa 1806 wamekuwa na matatizo tu. Tangu wakati huo marais sita wameuwawa kwa kupigwa risasi huyu wa karibuni akiwa Jovenel Moïse.
Kijiografia Haiti iko kwenye ukanda wa majanga yenyewe na Dominican republic ambayo wanashare kisiwa kimoja Espanola ila kimegawanyika katikati.
Wahaiti (Haitian) ni uzao wa watumwa walioletwa na ufaransa kisiwani hapo kutoka Africa Magharibi kulima miwa kwa ajili ya sukari (brown sugar) enzi hizo ilikuwa dhahabu pamoja na pamba
Waafrika hawa walikuwa wengi jamii ya Yoruba walikuja na lugha zao tofauti zikachanganyikana na kifaransa na lugha ya creole ikajitokeza. Na dini ya kiasili voodoo.
Licha ya majanga Haiti ni maskini sana katika carribeann. Pia kuna ukanda na ukabila. Watu wa Kaskazini wanabaguliwa sana ambapo alipotoka huyu rais aliyeuwawa majuzi jovenel moïse na pia marais wote sita wa Haiti waliouliwa (assassination) wote wametoka kaskazini mwa Haiti.
Wale wa kusini huku mji mkuu ulipo port au prince wanajifanyaga sana wana maendeleo na wasomi.
Pia kuna kasumba fulani ya wahaiti weupe au machotara ( mulato) wanajiona wao ni superior na wako wachache.
Wahaiti wanajilaumu kwa nini hawakukubali Marekani kununua nchi yao kutoka ufaransa. Walikataa ufaransa kuiuzia haiti Marekani. Ilikuwa ufaransa imuuzie Marekani Jimbo la Louisiana na Haiti lakini wa Haiti wakakataa Marekani ikabidi inunue jimbo la Louisiana. Wanajuta na kulaumu babu zao.
Haiti china Japan Indonesia ni shida kwenye matetemekoNchi yao imepitiwa na ukanda wa matetemeko...
Ni kosa?Punguza coppy and paste