Kuna baadhi ya Wanawake ni superglue

Kuna baadhi ya Wanawake ni superglue

For WHAT...!!!???[emoji28]
For WHO....!!!????[emoji2955]

Go EAST I go WEST [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
You CHEW I SWALLOW [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
You SPIT I VOMIT [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
You QUIT I VANISH [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kasinde Matata [emoji6]
Mmefanana kweli kwel na yule Mwenzio
For What?....For Who?
 
Kuna wanawake ukiwa nao kwenye uhusiano ukitaka kumuacha inabidi ujitoe ufahamu kweli kweli maana kila ukimwambia tuachane anazidi tu kuja kama wanajeshi wa Vietnam [emoji1264]!
Yaani kila ukimtafutia sababu wapi anazidi kukujia kwa kasi zaidi yaani ili umpige kibuti unabidi ujitoe ufahamu kweli kweli la si hivyo utajuta!ama utaamua kuhama mtaa!
Kuna wanawake hawakubali kuachika kabisa na ukifanya mchezo anabeba kabisa na mimba ili akukalie kooni zaidi!
Mnatupa wakati mgumu sana hasa sisi wanaume wapole!
Kubalini kuachika basi mapenzi hayalazimishwi [emoji276]
Aisee, tar 28 kura zote kwa Magu
 
Huyo mmoja keshapiga simu ikapokelewa na mwanamke mwenzie mimi nilikuwa nje sikujua wameongea nin nakuja kuangalia simu zilizoingia ni pamoja na yake na nilishamwambia asinitafute. Ila bado yuko tu na kunibembeleza kila siku ila mimi ndio nafsi haiko kwake kabisaaaa
 
Kuna wanawake ukiwa nao kwenye uhusiano ukitaka kumuacha inabidi ujitoe ufahamu kweli kweli maana kila ukimwambia tuachane anazidi tu kuja kama wanajeshi wa Vietnam [emoji1264]

Yaani kila ukimtafutia sababu wapi anazidi kukujia kwa kasi zaidi yaani ili umpige kibuti unabidi ujitoe ufahamu kweli kweli la si hivyo utajuta!ama utaamua kuhama mtaa

Kuna wanawake hawakubali kuachika kabisa na ukifanya mchezo anabeba kabisa na mimba ili akukalie kooni zaidi!
Mnatupa wakati mgumu sana hasa sisi wanaume wapole

Kubalini kuachika basi mapenzi hayalazimishwi [emoji276]
Simu haziuziki??
 
Ukiona ivo ulimpa nyama ya ulimi uyo sasa kakolea
WAZEE WA KUHONGA MAPENZ KM HAYO WATABAK KUYASIKIA TU NA MIPESA YAO
 
Habari ni kwamba bado anakatufuta
Kuna kidada niliingia nacho kwenye mahusiano hapo ndipo nilipojifunza... Kuwa usitembee na mwanamke usiye na malengo naye, nilivyomchana its over akanichimba mkwara mm huwa siachwi kirahisi hivyo uliza hapa mtaani kwetu lile beat nilitokakijacho .... Ilikuwa kazi sana namuda wowote kikitakakinakuja gheto... Nilikifanyia kila ainaya visa wapi ? Mpknilipoamua kuhamakimya kimya usiku saaa sita uck ndio ikawapona pona yangu

sent from HUAWEI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom