Kuna baadhi ya Wanawake ni superglue

Nna wangu ana tabia za ubish na ndo zilizofanya nimuache,ila huwa anakaa kama mwez iv anaanza nisumbua ila kwa ule mnato wake nashindwa ku move on
Njoo nikumovezishie.

Pasia namba zake hapa.
 
....ushanipotezea muda, ya nini ulinitaka? ....

utamu wa tundaa sikuuu mkikumbukana mnaanzaaa vimesage mwishowee ...
 
Nna wangu ana tabia za ubish na ndo zilizofanya nimuache,ila huwa anakaa kama mwez iv anaanza nisumbua ila kwa ule mnato wake nashindwa ku move on
Mi ninaye wa hivyo nimeshindwa kumuacha kwa.mnato wake. Ila.mbishi balaa.
 
Kuna wanawake ukiwa nao kwenye uhusiano ukitaka kumuacha inabidi ujitoe ufahamu kweli kweli maana kila ukimwambia tuachane anazidi tu kuja kama wanajeshi wa Vietnam

Yaani kila ukimtafutia sababu wapi anazidi kukujia kwa kasi zaidi yaani ili umpige kibuti unabidi ujitoe ufahamu kweli kweli la si hivyo utajuta!ama utaamua kuhama mtaa

Kuna wanawake hawakubali kuachika kabisa na ukifanya mchezo anabeba kabisa na mimba ili akukalie kooni zaidi!
Mnatupa wakati mgumu sana hasa sisi wanaume wapole

Kubalini kuachika basi mapenzi hayalazimishwi
Ukishikwa shikamana
 
Kuna kidada niliingia nacho kwenye mahusiano hapo ndipo nilipojifunza... Kuwa usitembee na mwanamke usiye na malengo naye, nilivyomchana its over akanichimba mkwara mm huwa siachwi kirahisi hivyo uliza hapa mtaani kwetu lile beat nilitokakijacho .... Ilikuwa kazi sana namuda wowote kikitakakinakuja gheto... Nilikifanyia kila ainaya visa wapi ? Mpknilipoamua kuhamakimya kimya usiku saaa sita uck ndio ikawapona pona yangu

sent from HUAWEI
Una bahati hakuamua kukuroga

Usingechomoka na ungehamia kwake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom