Kuna baadhi ya Wanawake ni superglue

Kuna baadhi ya Wanawake ni superglue

Kuna kidada niliingia nacho kwenye mahusiano hapo ndipo nilipojifunza... Kuwa usitembee na mwanamke usiye na malengo naye, nilivyomchana its over akanichimba mkwara mm huwa siachwi kirahisi hivyo uliza hapa mtaani kwetu lile beat nilitokakijacho .... Ilikuwa kazi sana namuda wowote kikitakakinakuja gheto... Nilikifanyia kila ainaya visa wapi ? Mpknilipoamua kuhamakimya kimya usiku saaa sita uck ndio ikawapona pona yangu

sent from HUAWEI
 
Ha ha ha haaaaa
 
For WHAT...!!!???😅
For WHO....!!!????🤨

Go EAST I go WEST 😆😆😆😆
You CHEW I SWALLOW 😜😜😜😜
You SPIT I VOMIT 😂😂😂😂
You QUIT I VANISH 🤣🤣🤣🤣

Kasinde Matata 😉
Maneno tu
 
daahh mi hadi kuna wakati niliamua kuishi kibachela tuuu.nilijiona nna nuksi kwa kupata wanawake chizi mapenzi.

Ni kweli mkuu maana ukiwa kwenye mahisiano ukisema upige mara kadhaa ukimbie unakuta sasa kila ukitaka kuchomoka unavutwa kila ukitafuta sababu inapanguliwa
 
Mwanamke aachwi siku unaweza kupanwa na nyegezi ukaanza kuwakumbuka ,ukitaka kumpigia yule simu tayari ulishamwambia sikutaki,

Mwanamke aachwi mimi huwa siwaachi kabisa

Hata mimi nilitamani hivyo lakini usiombe yakukute
 
Hao wapo hasa ukikutana na wale waliotokea Kg huko mwisho wa reli, ni wabishi yaani hata ukimweleza ana kwa ana kuwa sihitaji kuwa na wewe bado mtabishana mpaka jua lizame,
Labda umtoloke uhame kabisa umuachie vitu ndani

Unang’ang’aniwa hadi unatamani uwaite akina milady Ayo wakusaidie kuripoti [emoji28]
 
Kuna kidada niliingia nacho kwenye mahusiano hapo ndipo nilipojifunza... Kuwa usitembee na mwanamke usiye na malengo naye, nilivyomchana its over akanichimba mkwara mm huwa siachwi kirahisi hivyo uliza hapa mtaani kwetu lile beat nilitokakijacho .... Ilikuwa kazi sana namuda wowote kikitakakinakuja gheto... Nilikifanyia kila ainaya visa wapi ? Mpknilipoamua kuhamakimya kimya usiku saaa sita uck ndio ikawapona pona yangu

sent from HUAWEI

[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom