Kuna baadhi ya Wanawake ni superglue

Kuna baadhi ya Wanawake ni superglue

Hutonitoa password kweli wewe maana..😅

Acha wogaa, ukijiona unanigewa na kuzidiwa na hiyari basi hapo una uhuru wa kurudi nyumbani ilhali unaiacha asali ikiwa inameremeta inanesanesa kumwagika chini tayari kurambwa... 😜

Na ukiishindwa hiari pasiwedi utaitoa kwa hiari huku ukiwa na ufahamu wako mia ya mia 🤪🤪

Hapana chezea nguvu ya asali hasa ya Tabora 😅😅
 
Acha wogaa, ukijiona unanigewa na kuzidiwa na hiyari basi hapo una uhuru wa kurudi nyumbani ilhali unaiacha asali ikiwa inameremeta inanesanesa kumwagika chini tayari kurambwa... 😜
Unamaanisha..?
Sasa hiyo ni zawadi tunu au ndo unataka kunimalizia kijana wa watu..?😂
 
For WHAT...!!!???[emoji28]
For WHO....!!!????[emoji2955]

Go EAST I go WEST [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
You CHEW I SWALLOW [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
You SPIT I VOMIT [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
You QUIT I VANISH [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kasinde Matata [emoji6]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Kasie matata nakuelewa sana.
 
Ukiona ivo ulimpa nyama ya ulimi uyo sasa kakolea
WAZEE WA KUHONGA MAPENZ KM HAYO WATABAK KUYASIKIA TU NA MIPESA YAO

Huwa tunatoa show show,kwahiyo wakati unataka kumpiga chini ndio inakuwa kimbembe
 
Unamaanisha..?
Sasa hiyo ni zawadi tunu au ndo unataka kunimalizia kijana wa watu..?😂

Nimejikuta naimba....

Ulinipa ahadi tukutane kwenu
Nikitumaini nimewahii
Nilichopata kwako ni matusiii, ooh na dharau teleee...

Ungenieleza ukweli Kiberengeee
Kuliko kunidanganya aaaahhh
Najuta kuitimiza ahadi, oohh haya si ya kweli....😂

Kama na hii hujaelewa muite babu Asprin akueleweshe.
 
Solemba....
 
Tukutane chobingo..😉
 
Na akiamua kukuacha basi ujue amekuachia laana ya mapenzi..
Kila mwanamke utakayemtongoza atakukataa
 
Bado haujampata FUNDI.
For WHAT...!!!???[emoji28]
For WHO....!!!????[emoji2955]

Go EAST I go WEST [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
You CHEW I SWALLOW [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
You SPIT I VOMIT [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
You QUIT I VANISH [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kasinde Matata [emoji6]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom