Kuna baadhi ya Wanawake ni superglue

Kuna baadhi ya Wanawake ni superglue

😂😂 Huyo ni Bibi yangu punguza wivu laazizi..
mwaka huu nimewaambia marafiki zangu wajiandae kula pilau,either la harusi au la msiba,lolote laweza kutokea.Sasa wewe jitoe ufahamu.Utaniachaje kirahisi hivyo
 
Lily Tony mama weye huachiki ndo muhuri nishagonga na nakuelewa na zile kabari zako hata siwazi kukuacha..😅
 
endeleeni tu,Niko kwenye kikao cha familia😒😒
Tulizana jazba nawe ushaona wapi mtu anaachepuka hadharani tena niwe na kiumbe kizuri Kama wewe mtoto umebarikiwa kila kitu jicho lako tu linatosha niwaze kwa kichwa Cha chini hapo bado zile hazina nyengine.. toa shaka siwezi kurupuka..😅
 
😊😊ninaendelea kufanya upekuzi yakinifu humu ili kujiridhisha zaidi.Maana nimeanza kunusa harufu ya kuibiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom