Kaka nitumie no.yako ya voda nikutumie mpesa ya voda yani kama thread yako ulivyoandika machozi yananidondoka
Hivi KY-Jelly zimeanza kutumika mwaka gani?
Kitambo sana madakatari huitumia ku examine tezi dume

Tukuulize wewe