Kuna anayemfahamu Mh Lazaro Nyalandu?

Kuna anayemfahamu Mh Lazaro Nyalandu?

Swali zuri sana! Jibu analo Nyelandu mwenyewe.

Kwa mbali nasikia amefadhiliwa na Shirika moja wapo la Marekani. Aulizwe mwenyewe aliendaje Marekani, alisomea nini na wapi? Na aliporudi ni vipi alijiunga na Mfuko wa Mama Mkapa na kuacha mabilioni ya fedha hapo.

Nasikia- Tafadhali wahusika wafuatilie- Zawadi aliyopewa ni Ubunge katika jimbo lake la sasa na kumwengua Joram Alute (Mwenyekiti wa CCM wa Sasa - Singida). Tatizo la Watanzania ni wengi si wasema kweli ni Unafiki tu ndio unatawala. Tuwaachie wana Habari wa IJ.

RA

teheth!
 
mwenyekiti wa UKWATA taifa ...from Ilboru mwaka ....1990/91.....hakupata scholarship ya best students......ambao wengi wa best students wamekuwa wakisoma mlimani...na wengine wanaoendelea kufanya vyema kuwa retained pale as lecturers ...

Alipata mchongo wa kwenda kusoma Marekani kwa kutumia mgongo wa Ukwata[kanisa]....nijuavyo mimi ..enzi zile viongozi wengi high schools affilieted to Ukwata, YCA au uvccm ni wachache sana waliokuwa wakifanya vyema darasani ..let alone becoming best student...hivi kama ameweka hivyo kwenye CV yake hajuwi tukienda baraza la mitihani ..wana list ya best students wote tangu miaka ya 60...sijuwi kwanini watu wanapenda sifa za kijinga

Duh!
huo iubest imekuwaje tena
 
far
Ndiye mgombea pekee wa ubunge aliyetumia helikopta kusaka kura.....wana-TAKUKURU kivuli tunauliza ni nani jamaa huyu? Mafweza anayapata wapi? Wenye 'takwimu' waturushie.....
faru John anamfahamu vizuri
 
Wataalamu wanasema jamaa hakumaliza degree yake.....

Naona huyu choko ameubip urais ..tu ..kashaambiwa sio raia...au ana dual citizenship...nadhani huu ni mjadala mzuri....,watu wenye dual citizenship kama katiba ikija kuwaruhusu ni muhimu tukawwawekea mipaka ....ie hawezi kuajiriwa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama, anaweza kuwa mbunge [lakini hatateuliwa uwaziri au kuhudumu kwenye kamati nyeti bungeni]...na kwenye vyama hataweza kuwa kiongozi mkuu wa chama........ni vigumu kuwa na rais mwenye double loyalty...no wounder huyu Nyalandu ..amekosea sana ...badala ya kusema kuwa wananchi wa Tanzania wameniomba nigombee urais ...anasema Wamarekani wameniomba nigombee urais !!! basi akagombee huko ..tena mwaka huu kuna uchaguzi labda kama amechelewa primaries...........
ameniudhi sana ..binafsi nilikuwa nikimuona kama presidential material ...lakini sijui kwanini empathy yangu ilikuwa ikinituma kuwa ni CIA recruit.......for which he can't even stand...there vetting kwa uropokaji wake........

Sasa nadhani intelligence wamemrushia kapu.......sijui hili anajisafishaje ..labda ...JK Ambebe!!!

Leo makamanda huyo choko mnaye kwenu humo.
 
Anachapa kazi gani? mbona wamachinga wa kichina pale karikoo ameshindwa kuwarudisha kwao gwangzu, nyalandu hawezi angalau kwa sasa kuwa na sifa ya uchapakazi ya jamii, angefit kwenye tamthilia. kuwa kwenye mfuko wa kitapeli wa anna mkapa ndo ishereheshe u-kichwa!!!!! akafie mbele huko.

Anakuja kufia Chadema😀😀😀
 
Ndiye mgombea pekee wa ubunge aliyetumia helikopta kusaka kura.....wana-TAKUKURU kivuli tunauliza ni nani jamaa huyu? Mafweza anayapata wapi? Wenye 'takwimu' waturushie.....
Kwasababu kajitoa kwenu ndiyo umeyajua hayo uliyoyaandika?
Siku zote ulikuwa wapi?
Au mtu akiwa CCM ndiyo hakutani na Takukuru?
 
Wataalamu wanasema jamaa hakumaliza degree yake.....

Naona huyu choko ameubip urais ..tu ..kashaambiwa sio raia...au ana dual citizenship...nadhani huu ni mjadala mzuri....,watu wenye dual citizenship kama katiba ikija kuwaruhusu ni muhimu tukawwawekea mipaka ....ie hawezi kuajiriwa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama, anaweza kuwa mbunge [lakini hatateuliwa uwaziri au kuhudumu kwenye kamati nyeti bungeni]...na kwenye vyama hataweza kuwa kiongozi mkuu wa chama........ni vigumu kuwa na rais mwenye double loyalty...no wounder huyu Nyalandu ..amekosea sana ...badala ya kusema kuwa wananchi wa Tanzania wameniomba nigombee urais ...anasema Wamarekani wameniomba nigombee urais !!! basi akagombee huko ..tena mwaka huu kuna uchaguzi labda kama amechelewa primaries...........
ameniudhi sana ..binafsi nilikuwa nikimuona kama presidential material ...lakini sijui kwanini empathy yangu ilikuwa ikinituma kuwa ni CIA recruit.......for which he can't even stand...there vetting kwa uropokaji wake........

Sasa nadhani intelligence wamemrushia kapu.......sijui hili anajisafishaje ..labda ...JK Ambebe!!!
Duh! Babu una hasira kweli na huyu mutu. Choko tena?
 
Wengine tunamjua Lazaro in person na hiyo issue ya tuhuma za kuibaka tunaijua. Na hata Tashi (Tangeni) alipompiga singi ndani ya International students' center pale Wartburg College wengine ndiyo tuliamulia kabla ugomvi haujawa mkubwa na tukawekwa standby kama mashahidi endapo Waverly Police Department wangeendelea na hiyo kesi ya attempted assault.

Wanaojua watakuwa wanamjua Tashi (Tangeni Shiimi ya Shiimi)......
Makaburi ni shida kabisa!
 
Bwana huyu karudia saaaaana drs la saba. Mara ya mwisho ilikuwa mrumba s/m ndipo alipofanikiwa kwenda Kibaha sec. na inasemekana ni mizengwe ndio iliyofanikisha kuafaulu. Kitu ninachokumbuka, alikuwa anajujua kuongea kingereza. Hii ni kwa ufupi nikipata mda nitaendeleza.
Duh! Kaazi kweli kweli. Na hicho kiingereza alijifunzia wapi?
 
Back
Top Bottom