Kuna anayemfahamu Mh Lazaro Nyalandu?

Kwani biashara yake na kinana zina tofaug? Nyalandu si alikua ana vitalu kabisa ameamua kubadilisha na kuuza hisa ?
 
FBI wanajua jamaa ni criminal. Ana convictions kadhaa moja yao ikiwa ni ubakaji, lakini JK kampa uwaziri.
Ushaidi huu hapa chini; alikuwa tried for a number of days almost 10. (Raia wa Marekani ni Lawrence Masha)

Nyalandu alipatikana pia na hati ya kufoji checki akitumia identity ya mtu Minessota, huyu mtu alipataje uwaziri?


Summary
Title: STATE VS LAZARO NYALANDU
Trial Court Case IDOriginating CountyCreatedSpeedy TrialMicrofilm Ref
02951 SMCR007654WINNEBAGO02/19/1998
Citation NumberDisposition StatusDisposition DateReopened Date


nyalandu-case.jpg

Chanzo: https://www.iowacourts.state.ia.us
 
Nyalandu hana sifa yakuwa waziri.anatakiwa awe mwnykt wa kitongoji awadanganye wanavijiji uko kuliko kuifedhehesha taifa
 
Huyu si ndo anauzia wazungu mbuga zetu baada ya kupewa uwaziri? Sielewi inakuwaje mtu na akili zako kuhusudu wazungu mpaka kujitoa ufahamu namna hii. Huu ni uwenda wazimu kuuza national park kwa wazungu. Huyu jamaa sijui kama anao uwezo wa kuwa waziri. Hakuna waziri mwenye akili timamu anayeweza kufanya jambo kama hili kabisa.

Inatia uchungu sana.
 
Majungu pembeni, kwa kawaida ukiona mtu ana kesi zinazoweza kumfunga marekani, halafu zinayeyuka, halafu anarudi kwao anaingia kwenye siasa na mafweza yasiyoelezeka, ujue hilo ni pandikizi la CIA! Amekubali kuwafanyia kazi in exchange for his freedom. Huwa wanahakikisha anakuwa mtu mzito (waziri, mkurugenzi etc), au hata pengine rais, anayeweza kulinda maslahi ya marekani.
 
Lazaro was born in dire poverty in North Central Tanzania. He grew up in a small two room mud hut with twelve of his brothers and sisters. The family had barely enough food to eat let alone the finances to afford advanced education. Lazaro knew that the only way he would be able to make a difference for his family and his country was to obtain an education.

Through sheer determination and hard work, Lazaro dedicated himself to finding a means to put himself through school. He was able to attend high school level studies (known as secondary school in Tanzania) through the efforts of several philanthropic individuals. While in high school, Lazaro achieved academic success by receiving the highest grades on the annual national exams and won Tanzanian student of the year award. As a benefit of the award, Lazaro was given the opportunity to attend Waldorf College in Forest City, Iowa.

My take what was the name of award again???????? mengine sijataka kuweka ila ukitaka nitaweka full document na funds zilizotolewa..... ukibeep tunapiga, Nyalandu hakuwahi kuwa na akili darasani
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Waldorf University College (U.S.A)BA. (Business Administration)19941996GRADUATE
Wartburg University College (U.S.A)BA. (International Business)19971998GRADUATE
Pohama Primary SchoolPrimary Education19801984PRIMARY
Mrumba Primary SchoolPrimary Education19851986PRIMARY
Kibaha Secondary SchoolO-Level Education19871990SECONDARY
Ilboru Secondary SchoolA-Level Education19911993HIGH SCHOOL

Exchoosi me, nani alipata award ya kufaulu secondary??? Uwiiiii!!!!!!!!!
labda kama alirisiti au alitumia cheti cha form four.
mengine siyajui, kwa swala la shule asidanganye
 
Tusisupport huu ujinga, Kwanini mtu akiwa mchapa kazi vijimaneno haviishi?
Mimi nazidi kumuombea Nyarandu apige kazi vilivyo. Maans mijangiri imeshikwa kubaya ndio maana inakuja humu kuchafua hali ya hewa
 
Tusisupport huu ujinga, Kwanini mtu akiwa mchapa kazi vijimaneno haviishi?
Mimi nazidi kumuombea Nyarandu apige kazi vilivyo. Maans mijangiri imeshikwa kubaya ndio maana inakuja humu kuchafua hali ya hewa

Angalia kwanza uzi una miaka mingapi humu halafu ndio uchangie unavyojua wewe usikurupuke nyambaf.
 
Back
Top Bottom