Kuna anayemfahamu Mh Lazaro Nyalandu?

Kuna anayemfahamu Mh Lazaro Nyalandu?

Kama ana hatia ashtakiwe kwa mujibu wa sheria, lakini kam JK kamteua nani wa kumpinga? Ijapokuwa mimi sikubaliana na Nyalandu lakini naona anapigwa vita kwa sababu ya kuuondoa uongozi wa TTB,
 
Ngoja nisepe naona wewe umetumwa.... waswahili walisema mwana haramu ni mwana halamu tu.

Sent from my SM-N9005 using Tapatalk
 
Duh?!! Na bora mbio zikuokoe maana mi mwenyewe nilitaka nikwambie usiku mwema ThinkPad

Sent from my siemens kidole juu using jamii forums
 
Last edited by a moderator:
[h=2]Waziri LAZARO NYALANDU kumbe ni CRIMINAL....ushahidi huu hapa[/h]
Ana convictions kadhaa moja yao ikiwa ni ubakaji, lakini JK kampa uwaziri.
Ushaidi huu hapa chini; alikuwa tried for a number of days almost 10. (Raia wa Marekani ni Lawrence Masha)

Nyalandu alipatikana pia na hati ya kufoji checki akitumia identity ya mtu Minessota, huyu mtu alipataje uwaziri?

84534-kuna-anayemfahamu-mh-lazaro-nyalandu-7.html


nyalandu-case.jpg


https://www.iowacourts.state.ia.us​
 
Mimi ninachofahamu Nyalandu is a born again Christian. Amemuoa former Miss Tanzania Faraja Kota. Nyalandu yuko kwenye wanted list ya USA. Aliwahi kushikwa na nyara za serikali kwenye gari lake, akamtishia mlinzi wa barrier kwa bunduki na kukimbia na nyara hizo! To cut the long story short he is a controversial politician
 
Nijuavo mie huyu mtu wa Jérusalem na Tel Aviv katika Afrika Mashariki na kati, yeye mwenyewe anajijua
 
Jamani Lazaro Nyalando ni wa Basotu Ziwani mbele ya Kateshi. Anatoka kijiji kimoja na Rose Kamili. Alikwenda Singida - vijiji vinavyopakana na Arusha ili kugombea ubunge.
 
charles taylor alitoroka jela marekani, akawa rais wa liberia kwa msaada wa CIA. tuwe waangalifu na wahalifu kutoka marekani wanaoingia siasa bongo huku wakiwa na fedha chafu zisizojulikana vyanzo vyake....
 
tunasafari ndefu ya kujenga uadilifu na uwajibikaji kwenye sekta zote za umma
watu ni mamafia wauza madawa ya kulevya mfano ridhiwani kikwete,adam malima ndio viongozi
wengine majangili KINANA ndio katibu mkuu wa chama
wengine ni wezi wa pesa za EPA ndio wafadhili wa chama cha CCM johson lukaza
wengine ndio hao wakina NYALANDU mtu anamiliki kampuni kadhaa za utalii unamuweka kwenye wizara hiyohiyo ya utalii
kama si muingiliano wa kimaslahi kuna kipi hapo cha zaidi
 
Lazaro was born in dire poverty in North Central Tanzania. He grew up in a small two room mud hut with twelve of his brothers and sisters. The family had barely enough food to eat let alone the finances to afford advanced education. Lazaro knew that the only way he would be able to make a difference for his family and his country was to obtain an education.

Through sheer determination and hard work, Lazaro dedicated himself to finding a means to put himself through school. He was able to attend high school level studies (known as secondary school in Tanzania) through the efforts of several philanthropic individuals. While in high school, Lazaro achieved academic success by receiving the highest grades on the annual national exams and won Tanzanian student of the year award. As a benefit of the award, Lazaro was given the opportunity to attend Waldorf College in Forest City, Iowa.

My take what was the name of award again???????? mengine sijataka kuweka ila ukitaka nitaweka full document na funds zilizotolewa..... ukibeep tunapiga, Nyalandu hakuwahi kuwa na akili darasani
School Name/Location Course/Degree/Award

[TD="bgcolor: #b4c6db, colspan: 5"] EDUCATIONS [/TD]

[TD="width: 15%, bgcolor: #b4c6db"] Start Date [/TD]
[TD="width: 13%, bgcolor: #b4c6db"] End Date [/TD]
[TD="width: 10%, bgcolor: #b4c6db"] Level [/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Waldorf University College (U.S.A)[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]BA. (Business Administration)[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1994[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1996[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]GRADUATE[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Wartburg University College (U.S.A)[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]BA. (International Business)[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1997[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1998[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]GRADUATE[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Pohama Primary School[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Primary Education[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1980[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1984[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]PRIMARY[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Mrumba Primary School[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Primary Education[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1985[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1986[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]PRIMARY[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Kibaha Secondary School[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]O-Level Education[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1987[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1990[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]SECONDARY[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Ilboru Secondary School[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]A-Level Education[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1991[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1993[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]HIGH SCHOOL[/TD]
Mmmh! hivyo vyuo vikuu vyenyewe ni kiboko! Digrii hizi ipo siku atapewa asiyejua kusoma wala kuandika. Tusubiri.
 
Hii ni dalili ya maisha kutushinda, tunaacha kujadili masuala ya maana kuhusu Katiba na yanayoendelea bungeni tumebaki kuanzisha majungu na masuala binafsi.
 
Kwani tukianza kuchambuana katika nchi hii ama ndani ya jamvi humu nani msafi...nadhani hakuna aliyekamili kila mtu ana matatizo yake wengine ni makubwa zaidi.
 
Alipomtimua mkurugenzi wa Bodi ya Taifa ya Utalii (TTB) aliwahamasisha sana watanzania wazawa na Diasporians wenye vigezo kuapply nafasi hii ya ukurugenzi TTB ndani ya siku 21 alizotoa. Now am connecting the dots...!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Alipochaguliwa kuwa waziri wa wizara hii yenye watendaji wakorofi na viburi wenye kawaida ya kuwivimbia mawaziri wanoko toka enzi za kina Ndolanga mpaka sasa,nilisema upele sugu umepata mkunaji,namjua Lazaro,kwanza hana njaa pili sio muoga lkn pia hanaga pupa,hizi humu ni propaganda tu za wanaomuona kikwazo Kwao pale wizarani,wizara hii na ya ardhi ndizo wizara zenye watendaji jeuri zaidi,zinataka mawaziri jasiri na wasio na njaa ya maendeleo binafsi na utajiri wa haraka haraka,narudia tena nyarandu maliasili upele umepata mkunaji
 
Angekua criminal asingeruhusiwa kuingia marekani na alipokuja obama bongo waandishi wa vyombo vya kimataifa wasingeacha kumuuliza kikwete kuhusu waziri wake mbakaji,nyalandu anapigwa vita na bashe na kundi lake ambao wameungana na aliowatomua kazi mh.nyalandu
 
Back
Top Bottom