Kutokuwa mwaminifu katika mapenzi siyo tabia nzuri jaribu kubadilika...uwe ni mwanamke au mwanaume uaminifu kwenye mapenzi ndiyo kila kitu...Uaminifu kwenye mapenzi ni tatizo kwangu
Hili ni tatizoNahisi wapo, nina ID yangu ya kike kuna PM nyingi za wanaume humu na namba zao za simu wa etuma ila nawazungusha. Kama kweli ningekuwa dem ningewakubali walao wawili.
Hiyo ID ina Followers, wakati hii ni ya kitambo sina follower hata mmoja.
Ndiyo...
Niliwahi pata msukuma kumbe mme wa mtu alinificha. Ila alikuwa mtamu sana kitandani madikodiko Kama yote . Tatizo lake alikuwa mbahiri sana yaani hela yake huwezi kuipata nikambwaga.
wapo sananaaaa na wengine wako na ndoa zao kupitia humu kwani wewe hukuamini humu?Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Kuna waliowahi kukutana humu na kuwa wapenzi ukweli ukweli?
kwani wewe ulimpataje humu au huko kwenu hahaaaaaaaaaa(jokes)Naunga mkono hoja na wengine karibu wavunje ndoa za watu. Mapenzi ni hatari yanapokolea.