Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,100
Katika aina ulizotaja yangu haipo mbona? Means sina ndoa au?
Sijaoa bado
Nitafunga hio ya chini
Bwana YESU asifiwe!
Aina ya kwanza ya ndoa ni:
1.Ndoa ya kutungua
>Ndoa hii inafananishwa na nguo dukani umeona unataka,ukiona nyngne nzr unataka kwa iyo unatungua tu.
Aina ya pili:
2.Ndoa ya mashono
> Hii ni ndoa inayofananishwa na nguo kushona kwa fundi. Hapa kuna utaratibu vipimo lazima vifanyike vzr kuona kama inakutosha. Hii ndipo taratibu za kikanisa zinafuatwa bila hata ya kukutana kimwili.
>Ndoa hii pia ina baraka kwa kuwekewa mikono na wachungaji.
> Ninawaombea MUNGU awape NEEMA ya kufunga ndoa ya mashono katika jina la YESU KRISTO.
AMEN
Naomba tukafunge hiyo ndoa namba moja. Yaani nmekuzimikia na wewe unizimikie tukapimane maujuzi gestiHizi ndoa ni according to wewe au source ni ipi?
Umesahau aina ya tatu ya ndoa ambayo ni NDOA YA MTUMBA (USED) Aina hii ya ndoa ni ile ambayo unakutana na mke/mme ambaye alishaachika na mnazimikiana mnaamua kulianzisha. Aina hii ya ndoa inadumu kuliko hiyo ya kupima. Si unajua sifa ya nguo za mtumba zinadumu sana.
Hizi ndoa ni according to wewe au source ni ipi?
Roho mtaka vitu basi sawa...Source: Roho Mt.
Huyo unaemsifia Bwana yesu yeye alioa Je alikuwa na ndoa ya aina gani?
Acha Kufuru, Unamjua Huyo Unaemdhihaki? Akikurudi Utahama Duniani. Nakuombea Upone Kwa Jina La Yesu