Kumuoa binti msomi

Hii thread imeniongezea points kadhaa kichwani mwangu.

Asante mtoa mada.
 
Kabisaa mzeee yani umemalizaa...!! Mwanamke hata ukiwa unampa hela daily siku ikikuishia yani hata kama ni wife unaona kabisa anabadilikaa hata attitude yake na tabia inakuwa ya dharau flani.
 
Mwanamke akikuzidia idara yoyote ile huwa anatumia kama Kigezo kukudharau sijui wameumbwajeee hawa Viumbe. Unaweza kuta kadada kanatumia Iphone ya kuhongwa yani wewe unaetumia tekno hata kama hakajui maisha yako ni first day anakuona lazima atakudharau...!!

Mwanamke kama umemuoa na amekuzidi elimu lakini umemzidi kipato omba Mungu siku usikwame aisee mbona utajua hujuii


Mwanamke akikuwezesha kwenye jambo flani kamwe haesabu kama mlikuwa mnasaidiana hata kama ni wanandoa huwa anahesabu kama Umeshindwa na bila yeye usingeweza fanya ndo maaan siku hizi ni Ngumu kukuta mwanaume anamshirikisha mwanamke kila Jambo na ubaya huwaga wanaona Wao wataishi zaidi kuliko wanaume.

Mambo ambayo hutakiwi kufanya na mwanamke maana lazima Mtagombana.

1. Usikubali mwanamke akupe Mtaji wa biashara kama una rohoo ndogo nasema dharau zake unaweza UA

2. Usikubali kuisho kwenye nyumba aliyojenga mwanamke my friend bora mpange nyumba muishi humo

3.Usikubali Kujenga kwenye kiwanja cha Mwanamke u will die


4.Usikubali mwanamke afanye majukumu yako nyumbani kama kulipa Ada bora hata anunue mahitaji ya nyumbani kidogo hapo pia Atakudharau.

5.USIOE MWANAMKE ALIEKUZIDI KIPATO HATA KAMA UMEMZIDI ELIMU USIJARIBU.

6.USIOE MWANAMKE ALIEKUZIDI ELIMU LABDA KAMA UMEMZIDI PESA MBALI SANAAA.
 
Kabisaa mzeee yani umemalizaa...!! Mwanamke hata ukiwa unampa hela daily siku ikikuishia yani hata kama ni wife unaona kabisa anabadilikaa hata attitude yake na tabia inakuwa ya dharau flani.
Tatizo huwa mnasema zimeisha huku nje mnahonga.
Hizo jeuri zetu mnazitengeneza wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke kabla ya mimba huwa mwangalifu sana (risk manager) ila akiwa single mother obvious anakuwa risk taker. Hana choice anayekuja mbele yake, twende kazi
Ha ha ha ha ha ha ha ha ni kweli kabisa. Mimi nakutana nao sana hawa wenye mtoto au watoto. Yaani wanakuwa wapo vile tunataka. Ukiomba mchezo ni chap, ukimpa pesa haitumii kizembe, ukimuomba ushauri anakushauri vizuri, ukimwambia hauna pesa anakuelewa na kukupa moyo utafute....

Sasa huwa najiuliza hawa akili wanazo mbona huwa wanafeli kuzitumia kabla hawajazaa kipuuzi.
 
Mbona kama umepotea hivi,huyo mwanaume ni msomi pia...lakin mtoa mdada kasema wanawake wasomi v/s wanaume wasio wasomi sio walio na elimu kubwa kuliko waume zao
 

Haijalishi ana elimu kiwango gani cha msingi kwanza awe na wowowo
 
🤣🤣🤣🤣
Wanakuwa na makidai ya kijinga sana...ndio maaanaa mabaharia wanagegeda na kusepa

Mwanamke mjanja kablanhajagegedwa akishagegedwa hana jipya.
 
🤣🤣🤣🤣
Wanakuwa na makidai ya kijinga sana...ndio maaanaa mabaharia wanagegeda na kusepa

Mwanamke mjanja kablanhajagegedwa akishagegedwa hana jipya.
 
Umeongea sahihi kabisa.

Sasa kuna wale wanaume wenzetu ambao tayari wameshalainishwa mioyo na feminists utaona wanasema mwanaume mwenzao akija na hoja kama hii ni dhaifu. Huwa nawatazama jicho la dharau sana ujue.

Kimsingi, haya uliyoyasema ndio ukweli wa mambo. Wanawake wa Tanzania miaka hii ya 2000 hawapo real hata kidogo, wanaume tunajitahidi sana kuwakingia kifua ila wao wanatustab at the back (ungrateful bitches).

Haya mimi nimeyaona sana. Kuna brother m'moja miaka hiyo alikuwa anapiga mzigo Serena kama procurement officer. Alikuwa ana huyo mwanamke wake wakiishi wawili tu so alimpangia chumba na yeye akaenda kuishi huko zenji kikazi na mkewe akabakia Dar sababu alikuwa anafanya kazi Dar.

So jamaa anarudi kusalimia na muda mwingine bi dada anakwenda kwa mshikaji. Huku na kule jamaa akawa anasema anaona mwanamke wake yupo pekee yake muda mwingi so asije pata ushawishi endapo akiwa mpweke akaona amwambie aite wadogo zake waishi wote wampe company.

Bi dada akaita wadogo zake wawili, m'moja ni denti, mwingine ni askari jeshi. So wakaja kuishi na dada yao.

So kabla jamaa kabla hajarejea akatafuta nyumba kubwa zaidi ili apate nafasi ya kuishi na mashemeji zake. Sasa mitihani ikaanza. Miezi michache jamaa akastopishwa kazi sababu ya tuhuma za upigaji. Na kipindi anastopishwa kazi mkewe ni mjauzito wa miezi kadhaa.

Akaja kukaa alipo mkewe na mashemeji zake. Sasa huku na kule jamaa akawa ndio msimamia show hapo ndani na vile hana kazi so muda wote yupo home tu. Muda ulipozidi kwenda jamaa akiba yake ikaanza kudumaa so akawa anaishiwa providing power na mwishowe akawa anakwama baadhi ya majukumu so akaanza muingiza mkewe katika kusimamia bili, hapo ndipo balaa lilipoanza.

Mwisho wa siku hivyo vitu vikaanza kumletea changamoto ya kimahusiano na mwanamke wake. Shemeji yake yule askari jeshi akawa anaanza msapoti dada yake so akawa anamvimbia jamaa muda mwingine, kwa kuja na wanaume zake pale kwa dada yake, jamaa akiongea na dada yake kukemea dada mtu hasemi kitu. Mara amvalie khanga moja yaani shida tupu.

Kimsingi jamaa alianza pata shida sana kufanya maisha na mwanamke wake katika uwepo wa mashemeji zake. Baadae mwanamke akaanza kuwa anamahusiano na watu nje ambayo si ya kawaida. Mara arudishwe home na gari jamaa akiuliza mwanamke anasema ni lift tu, mara ni ndugu yake. So jamaa alipitia kipindi kigumu sana kwakweli.
 
Yani huwaga hawakumbuki wema uliofanya hata miaka 20 na kukusitiri japo kwa mwezi ni ngumu sanaa yani
 
Muweke pete umjue vilivyo. Utaomba ardhi ipasuke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…