:whistle:
sina uhakika na uelewa wako kama si kiwango cha kujua ama una ilimu na si Elimu, nenda kawadanganye majuha wenziyo hapaudaktari wa slaa ni sawa na form 6....wa kutoa sacramenti....na kufungisha ndoa....hamna kitu hapa.....udaktari wa kikwete ni wa heshima baada ya kufanya ubunifu mwingi kwa maendeleo ya watanzania...
Hata phd ni reseach work tu.....sasa kama umefanya mengi kwa ubunifu basi unastahili phd...uelewa wake ni zaidi ya aliekwenda chuo kikuu.
Wacheni wivu...jamaa ni zaidi na zaidi
HAHA HIYO PICHA SI MTU ANGALIA TENA... NI KIKARAGOSI KINAKOJOLEA TAIFA LA VILAZA, alafu mimi siye niliyetoa ahadi ya kusomesha BURE
yaani elimu bure kuanzia nursery school hadi Uni.. tatizo slaa anafkiri wa tz woote ni vilaza kama yeye tunaweza kuamini ahadi kama hizo ! mathematically hiyo kitu ni impossible katika nchi yenye watu million 40 .
Hii imekaaje:
Dr. Jakaya Mrisho Kikwete! Period!
The rest of you with contrary view, go hang!
Ndio ukweli!
udaktari wa slaa ni sawa na form 6....wa kutoa sacramenti....na kufungisha ndoa....hamna kitu hapa.....udaktari wa kikwete ni wa heshima baada ya kufanya ubunifu mwingi kwa maendeleo ya watanzania...
Hata phd ni reseach work tu.....sasa kama umefanya mengi kwa ubunifu basi unastahili phd...uelewa wake ni zaidi ya aliekwenda chuo kikuu.
Wacheni wivu...jamaa ni zaidi na zaidi
Kwani Slaa ni Dr wa nini vile?
Katika siku za karibuni utambulisho wa JK kuitwa Dr umepamba moto hasa kupitia TBC1. Kila nikisikiliza taarifa utasikia Dr. Kikwete kafanya hiki, mara kile..Binafsi naona huu ni uchakachuaji wa elimu. Nia hasa ya vyombo hivyo vya propaganda ni kutaka kufananisha usomi wa mgombea wa chama fulani (ambaye ni PhD holder) na wa Kikwete. Binafsi sifurahii sana kusikia mtu aliyepewa heshima tu, kwa sababu zinazojulikana kwa Wakenya waliompa, akijinadi kwa kujiita Dr. In fact, it doesn't sound well! Tusome jamani!:A S angry::glasses-nerdy:
Barubaru najua hii post ni ya siku nyingi, lakini nataka nikuambie kuwa kilichokuwa kinaongelewa hapa ni kuhus nini hasa alichosemea/research mpewa udaktari;i.e. amesomea kufagia, au kupiga mbiu au kufanya upasuaji wa ubungo nk. Kwa mfano Slaa amesomea sheria za dini - Cannon Law hivyo kupata Doctorate, vile vile Dr. Gharib Bilal amesomea chemia kwenye mambo ya nuclear na kupata huo U-doctorate. Sasa swali hapa, Kikwete amesemea/research kwenye nini? Huu ndio msingi wa swali wanalouliza watu wengi.
Kama Doctorate aliyopata ni ya heshma basi hii title inatumika kwenye CV/profile yake na siyo kuambatana na jina Dr.fulani. Kufanya hivyo ni kutojua hata matumizi ya hizi title let alone the research subject. Kuna aibu kubwa sana inaendelea hapa nchini kwa watu kujiita Dr kumbe u-doctor wenyewe ni heshma. Bungeni wamejaa tele. Hii ni aibu kwa Taifa kwamba hatujui hata matumizi ya hizi title? Na inatoa picha gani kwa watoto? kwamba wanaweza kupata title za elimu kwa njia ya mkato? Taifa gani hili lisilojali elimu badala yake limejikita kwenye title za bandia? Si vyote ving'aavyo ni dhahabu.
Kwa kuunganisha hapa nimewahi kusikia watu wanaita watanzania wengine SIR na kusema kuwa walipewa huo U-SIR na Malkia wa Uingereza. Mfano Sir Chande. Kwa uelewa wangu kama malkia anakutunuku huu u-Sir lakini wewe sio mzaliwa wa Britain (wanaita -British subject) basi hiyo title yako utaitumia kwenye LETTER-HEAD, na sio kuita Sir fulani. Utaitwa Sir Fulani tu iwapo wewe ni British subject. Kwa mfano George Bush (Senior) na Steven Spielberg, hawa wametunukiwa hizo nighthood yaani -u-Sir na Malkia. Lakini haijasika hata mara moja wakisema wao ni Sir-this or that!
Ni vizuri tuepuke hizi aibu maana kwa mtu mwenye akili timamu akikusikia unajipachika title za bandia anakudharau.