Kumuepushia aibu ya Kushindwa, CCM isimsimamishe Dr. Shein

Wanabodi,

Kwa vile Zanzibar inatawaliwa na SUK, mshindi wa urais ndiye Rais na mshindwa huwa Makamo wa kwanza wa rais, kwa kuzingatia uwezekano wa CCM kushindwa Zanzibar, hivyo kama watamsimamisha tena Dr. Shein, na CCM ikashindwa, hii inamaanisha Dr. Shein atakuwa demoted kutoka rais hadi kuwa Makamo wa Rais!, hii itakuwa ni aibu kwa Dr. Shein!.

Hivyo nashauri, hata kama CCM inajua kuwa ni lazima itashinda uchaguzi wa Zanzibar kwa kutumia mbinu zile zile!, ila sio vibaya kuweka akiba ya uwezekano wa mbinu hizo kushindwa this time, ili kumtunzia heshima, nawashauri wasimsimamishe tena Dr. Shein kugombea urais wa Zanzibar, ili kumuepushia na aibu ya kushindwa, bora Dr. Shein achagizwe kugombea urais wa Muungano ambako huku atashinda straight forward!.

Huu ni ushauri tuu wa bure, sio lazima ufuatwe!.

Jee CCM Zanzibar iendelee kumsimamisha Dr. Shein au imuepushie na aibu ya kushindwa?!

Pasco

Tulishauri, kinachotokea Zanzibar sasa ndicho hiki, ili kumuepushia aibu ya kushindwa, wameona bora wafute kabisa!, na Maalim akikubali kuingia huu mtego, atakuwa ameingia choo cha kike!, atapigwa sio bao la mkono bali bao la ....

Pasco
 
Wanabodi,

Nimefuatilia mkutano wa hadhara wa CUF kutoka uwanja wa Mnazi Mmoja Zanzibar, kupitia Star TV, CUF wametangaza wazi kuwa Maalim Seif Sharif Hamad ndiye atakaye apishwa kuwa rais wa Zanzibar, Novembar 1, mwaka 2015!.

Kwa vile uchaguzi wowote ni ushindani, japo kauli hiyo ya CUF inaweza kuwa ni kauli tuu ya kujipa matumaini, ila pia kwa siasa za Zanzibar, ni kweli kuna uwezekano wa CCM kushindwa Zanzibar.

Kwa vile Zanzibar inatawaliwa na SUK, mshindi wa urais ndiye Rais na mshindwa huwa Makamo wa kwanza wa rais, kwa kuzingatia uwezekano wa CCM kushindwa Zanzibar, hivyo kama watamsimamisha tena Dr. Shein, na CCM ikashindwa, hii inamaanisha Dr. Shein atakuwa demoted kutoka rais hadi kuwa Makamo wa Rais!, hii itakuwa ni aibu kwa Dr. Shein!.

Hivyo nashauri, hata kama CCM inajua kuwa ni lazima itashinda uchaguzi wa Zanzibar kwa kutumbia mbunu zile zile!, ila sio vibaya kuweka akiba ya uwezekano wa mbinu hizo kushindwa this time, ili kumtunzia heshima, nawashauri wasimsimamishe tena Dr. Shein kugombea urais wa Zanzibar, ili kumuepushia na aibu ya kushindwa, bora Dr. Shein achagizwe kugombea urais wa Muungano ambako huku atashinda straight forward!.

Mzee Pasco kweli wewe Kiona mbali. Wakati mwingine watu wana anzisha thread mahususi kwa walengwa lakini wana zikwepa wakidhani kila mwenye kutoa maoni yake ni Lofa. Ushauri huu ulio toa ndio majibu ya leo. Na hata uchaguzi ukirudiwa ndio mzee ata azibiwa vibaya zaidi kuliko sasa. Heshima yako kwa kuona mbali.
 
Too little too late. Sheria za marudio hairuhusiwi kubadili kitu only replacement by death!.

Pasco

Kwa wafu walioko CCM... yote yanawezekana!!!

Hebu angalia hii contradiction ya NEC na ZEC!!!

NEC inasema ya ZEC hayawahusu huku hao hao ZEC wanasema uchaguzi haukuwa huru na haki ambao wao waliusimamia ukiwepo wa NEC!!!

Ni hao hao CCM walitengeneza katiba pasi na kufikiri itakuwaje Rais akishindwa anaweza kuwa makamu??

But concept is clear uchaguzi umefutwa haujaahirishwa!! so kama umefutwa it means zinaweza fanyika kampeni upya na wagombea wapya unless wangeahirisha!!!
 
Next election ipi tena hiyo?

Yaani CCM majinga sana aisee.

Wanasema kutakua na uchaguzi tena after three months!!

Sijui hii CCM ni laana au kitu gani kwanini wote wanakuwa na same way of thinking?

Yaani japo wamesoma ni sifuri kabisa!!!

kama hiki kibibi kibosi changu kilichokua balozi hapo kwenu yaani ni kichwa cha mshumaa kabisa!! mpaka unawaza wanapataje hizo post? yaani mkuu yule kibibi ni mtupu kabisa zaidi ya misifa ni mweupe kichwani mithili ya theluji!!!

Ndipo najiuliza ni laana? why wote wanafanana hata ukimchukua malaika/clever leo ukimtumbukiza CCM akili inabadilika!!!

Wazungu wanatuona Nyani kabisa na ni haki yao kutuona hivyo!!
 
Wanabodi,

Nimefuatilia mkutano wa hadhara wa CUF kutoka uwanja wa Mnazi Mmoja Zanzibar, kupitia Star TV, CUF wametangaza wazi kuwa Maalim Seif Sharif Hamad ndiye atakaye apishwa kuwa rais wa Zanzibar, Novembar 1, mwaka 2015!.

Kwa vile uchaguzi wowote ni ushindani, japo kauli hiyo ya CUF inaweza kuwa ni kauli tuu ya kujipa matumaini, ila pia kwa siasa za Zanzibar, ni kweli kuna uwezekano wa CCM kushindwa Zanzibar.

Kwa vile Zanzibar inatawaliwa na SUK, mshindi wa urais ndiye Rais na mshindwa huwa Makamo wa kwanza wa rais, kwa kuzingatia uwezekano wa CCM kushindwa Zanzibar, hivyo kama watamsimamisha tena Dr. Shein, na CCM ikashindwa, hii inamaanisha Dr. Shein atakuwa demoted kutoka rais hadi kuwa Makamo wa Rais!, hii itakuwa ni aibu kwa Dr. Shein!.

Hivyo nashauri, hata kama CCM inajua kuwa ni lazima itashinda uchaguzi wa Zanzibar kwa kutumbia mbunu zile zile!, ila sio vibaya kuweka akiba ya uwezekano wa mbinu hizo kushindwa this time, ili kumtunzia heshima, nawashauri wasimsimamishe tena Dr. Shein kugombea urais wa Zanzibar, ili kumuepushia na aibu ya kushindwa, bora Dr. Shein achagizwe kugombea urais wa Muungano ambako huku atashinda straight forward!.

Huu ni ushauri tuu wa bure, sio lazima ufuatwe!.

Jee CCM Zanzibar iendelee kumsimamisha Dr. Shein au imuepushie na aibu ya kushindwa?!

Pasco

Soma huu uzi uone ni kwa nini ZEC wameamua kufanya walichofanya

https://www.jamiiforums.com/uchaguz...otokea-zanzibar-zec-leo-hii-28-10-2015-a.html
 
Umeelewa mada?

Natamani Mungu alete gharika kama la Nuhu wafu wote mnaotembea mfe kabisa kizazi chenu kipotee ktk uso wa nchi!!

Wewe Unayeombea Wengine Wafe Utakuwa Una Roho Ya Kishetani na Unamuabudu Shetani.

Tubu Maana Mola Hadhihakiwi.
 
Hata Mola ananielewa ninapoomba wafu mnaotembea mfe kabisa kiroho na kimwili...

Hata Mungu aliangamiza vizazi vilivyokosa faida usoni pake!!

Sasa mataahira na misukule kama nyie mnaochagua chupi badala ya elimu bora na bure from chekechea up to university mna faida gani?
 
Tulishauri, kinachotokea Zanzibar sasa ndicho hiki, ili kumuepushia aibu ya kushindwa, wameona bora wafute kabisa!, na Maalim akikubali kuingia huu mtego, atakuwa ameingia choo cha kike!, atapigwa sio bao la mkono bali bao la ....

Pasco

Mmh Mkuu nimekukubali kwa uwezo wako mkubwa wa kuangalia mambo kwa jicho la 3! Hii mada uliileta mapema sana na sasa yamekuwa! Wakubali yaishe ili tusonge mbele, Magufuli akileta za kuletwa naiona Zanzibar ileeeeeeeee!! Hongera Mkuu kwa uchambuzi wako!
 
Too little too late. Sheria za marudio hairuhusiwi kubadili kitu only replacement by death!.

Pasco

Labda Shein ajidai amekufa kwa BP! Maalim asikubali marudio kabisa, akilogwa tu akubali hatakaa aamini masikio na macho yake! Hata wabunge atapoteza! Kama noma na iwe noma!!
 
Hata Mola ananielewa ninapoomba wafu mnaotembea mfe kabisa kiroho na kimwili...

Hata Mungu aliangamiza vizazi vilivyokosa faida usoni pake!!

Sasa mataahira na misukule kama nyie mnaochagua chupi badala ya elimu bora na bure from chekechea up to university mna faida gani?

Huyo mungu anayemuomba kwa roho mbaya kama yako lazima awe ni shetani. Mungu wetu ni wa upendo na hadhihakiwi. Acha hasira na uende ukatubu.
 
Kuna tetesi za kutia matumaini kutokea Zanzibar kuwa Shein kakubali yaishe!, ikithibitishwa nitawajulisha!.

Pasco
 
You have the prediction power!
Anzisha ofisi ya kupredict itauza sana.
Nami natabiri kuwa watia nia wengi watakuja!
Opportunities are there to be used.
 
Huyo mungu anayemuomba kwa roho mbaya kama yako lazima awe ni shetani. Mungu wetu ni wa upendo na hadhihakiwi. Acha hasira na uende ukatubu.
Ni nani anayemdhihaki Mungu kama sio wewe uliyepewa akili za kufikiria lakini ukaacha kuzitumia badala yake unatumia ''back bottom'' kufikiria? Mijitu kama wewe ni maangamizi kwa dunia.
 
Wanabodi,

Nimefuatilia mkutano wa hadhara wa CUF kutoka uwanja wa Mnazi Mmoja Zanzibar, kupitia Star TV, CUF wametangaza wazi kuwa Maalim Seif Sharif Hamad ndiye atakaye apishwa kuwa rais wa Zanzibar, Novembar 1, mwaka 2015!.

Kwa vile uchaguzi wowote ni ushindani, japo kauli hiyo ya CUF inaweza kuwa ni kauli tuu ya kujipa matumaini, ila pia kwa siasa za Zanzibar, ni kweli kuna uwezekano wa CCM kushindwa Zanzibar.

Kwa vile Zanzibar inatawaliwa na SUK, mshindi wa urais ndiye Rais na mshindwa huwa Makamo wa kwanza wa rais, kwa kuzingatia uwezekano wa CCM kushindwa Zanzibar, hivyo kama watamsimamisha tena Dr. Shein, na CCM ikashindwa, hii inamaanisha Dr. Shein atakuwa demoted kutoka rais hadi kuwa Makamo wa Rais!, hii itakuwa ni aibu kwa Dr. Shein!.

Hivyo nashauri, hata kama CCM inajua kuwa ni lazima itashinda uchaguzi wa Zanzibar kwa kutumbia mbunu zile zile!, ila sio vibaya kuweka akiba ya uwezekano wa mbinu hizo kushindwa this time, ili kumtunzia heshima, nawashauri wasimsimamishe tena Dr. Shein kugombea urais wa Zanzibar, ili kumuepushia na aibu ya kushindwa, bora Dr. Shein achagizwe kugombea urais wa Muungano ambako huku atashinda straight forward!.

Huu ni ushauri tuu wa bure, sio lazima ufuatwe!.

Jee CCM Zanzibar iendelee kumsimamisha Dr. Shein au imuepushie na aibu ya kushindwa?!

Pasco
Hakuna kitu kizuri kama kukubali makosa, au kukiri kosa kuwa ulikosea!. Kwenye hoja hii, mimi Pasco wa jf, nakiri wazi. I was wrong, CCM is right!.

Hongereni Wanzanzibari, tumeushuhudia uchaguzi, ulikuwa huru na wa haki, wenye utulivu na amani,

Sasa uchaguzi umekwisha, kazi ni moja tuu, tusonge mbele!.

Pasco
 
Back
Top Bottom