Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,738
- 134,453
- Thread starter
- #61
Mkuu Bukwabi, hapa nilichemsha!. Hakuna kitu kizuri kama kukubali makosa, au kukiri kosa kuwa ulikosea!. Kwenye hoja hii, mimi Pasco wa jf, nakiri wazi. I was wrong, CCM is right!.You have the prediction power!
Anzisha ofisi ya kupredict itauza sana.
Nami natabiri kuwa watia nia wengi watakuja!
Opportunities are there to be used.
Pasco