Kumuacha mpenzi unayempenda inauma sana

Kumuacha mpenzi unayempenda inauma sana

Mkuu mimi mpka home ana someka mpka hivi leo ndugu mpka wazazi wana mwelewa sana ila muhusika.mwenywe hataki tulia sasa mtu kama huyu na msaidiaje?
Na Bora ungekua humuhakikishii kwamba utamuoa, ila unaonyesha kila Nia ya kuja kufanya ivo but mwisho wa siku sijui Ni pepo gan anawaingiaga Hawa viumbe

Hapo ukute hata hao Saba wanamlalamikia ivo ivo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyinyi watu mnataka tuwatese tu Ila mwanaume akisema atulie na ww bas unahs Hana uwezo wa kuwapata wengine

Wadada kaeni mkijua wazur wapo wengi Ila wanaume Kuna muda tunaamua kutulia tu
and vice versa.....
hapa nakubali
 
Inawezekana lakin pia haiwezekan

Before nilikua msumbufu Sana kwa wadada ila nkasema this time nataka nitulie but alivoona nimetulia sijui pepo gan alimuingia huyu dada na kuona kwamba Sina uwezo wa kuwa na wanawake wengine isipokua yy tu but kila siku nilikua namwambia nampenda coz nmeamua kutulia ila akawa anaona Kama namuongopea vile kwamba kwake nimefka na siwez kubanduka na wakat before nilikua natoka na vitu classic Sana kumzd hata yy ila niliona Yale sio maisha it's better kuanza maisha mapya na yy bt ndo ivo tena
Huu ugonjwa unawatafuna kweli kweli hawa viumbe, sijui hata kwanini?. Utakuwa mtu anajisahaau, utafikiri mmeunganishwa kwa maagano ya damu!!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyinyi watu mnataka tuwatese tu Ila mwanaume akisema atulie na ww bas unahs Hana uwezo wa kuwapata wengine

Wadada kaeni mkijua wazur wapo wengi Ila wanaume Kuna muda tunaamua kutulia tu
Haiwezekani usumbue watu wee afu utake kutulia ukadhani u will in peace..lazma na wewe usumbuliwe tuu inaitwa KARMA
 
Haiwezekani usumbue watu wee afu utake kutulia ukadhani u will in peace..lazma na wewe usumbuliwe tuu inaitwa KARMA
Binadam ukiwa dynamic hautesek Sana kwenye mahusiano so Kama ndo kulipizwa kisas hapo imeshindikana coz nilivoona mizinguo tu huyoooooooo nimelala mbele
 
Binadam ukiwa dynamic hautesek Sana kwenye mahusiano so Kama ndo kulipizwa kisas hapo imeshindikana coz nilivoona mizinguo tu huyoooooooo nimelala mbele
Ila unateseka kwa kuwa unaumia kama ulivyoumiza wenzako
 
Ila unateseka kwa kuwa unaumia kama ulivyoumiza wenzako
Nilikua siumizi mtu mm na madem zang karbia wote nikiwachoka nilikua natengeneza mazingira ya wao kuniacha mm na sio mm kuwaacha
 
Nilikua siumizi mtu mm na madem zang karbia wote nikiwachoka nilikua natengeneza mazingira ya wao kuniacha mm na sio mm kuwaacha
Issue ni nia mtu anakupenda unamuacha
Hata we umetengenezewa mazingira unapenda ila umeaga mwenyeweee
 
Back
Top Bottom