Kumuacha mpenzi unayempenda inauma sana

Kumuacha mpenzi unayempenda inauma sana

Pole sana ....utampata mwingine wa kufanana nae

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana lakin pia haiwezekan

Before nilikua msumbufu Sana kwa wadada ila nkasema this time nataka nitulie but alivoona nimetulia sijui pepo gan alimuingia huyu dada na kuona kwamba Sina uwezo wa kuwa na wanawake wengine isipokua yy tu but kila siku nilikua namwambia nampenda coz nmeamua kutulia ila akawa anaona Kama namuongopea vile kwamba kwake nimefka na siwez kubanduka na wakat before nilikua natoka na vitu classic Sana kumzd hata yy ila niliona Yale sio maisha it's better kuanza maisha mapya na yy bt ndo ivo tena
 
Hawa wanawake wasivojielewa unawezakuta mpaka dakka hii tayar Jimbo lishapata mbunge but ipo siku atakuja kunitafuta na nafasi itakua haipo tena
Si umemuacha,sasa nafasi gani itakuwa haipo, kwahiyo kwasasa bado ipo?
 
Back
Top Bottom