Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,566
- 10,532
Kwenye sita kwa sita upo vizuriHabarn wandugu
Leo nimeachana rasmi na kumtoa moyoni mpenz wangu.
Stori ipo iv....nilianza mahusiano na huyu bidada na wakati naanza nae alinihakikishia hawez kurudiana na x wake but chakushangaza alikua bado anawasiliana nae mbali na huyo Kuna jamaa alikua anawasiliana nae Tena zile sms za babe Mara kitty, nilipombana akanambia wamezoeana tu na hawana mawasiliano yyte ila mi nikamuambia kuwa na mipaka kwa wanaume wasio wapenzi wako ila bidada huyu nahs alikua anatoka na jamaa coz jamaa alikua anapiga Sana simu usiku na nkimuuliza bidada anasema Ni best yake tu
Majuzi nilimwambia mama mapenzi hawatumii akili Sasa naona ww unataka nianze kutumia akili coz kila ninachokuelekeza hunielewi
Mungu mkubwa leo akaingia kwenye 18, niliona jamaa katuma sms halaf alivosoma akazifuta sms za huyo jamaa
Nikamlia timing nijilie vyangu Kwanza halafu nikamwambia mama nimechoka Ni Bora ungekua muwazi tu tungejua namna ya kufanya ila kwa style hii siwezi kuwa na wewe, nikafungua mlango Kama masihara zen nkasepa zangu ... Amenitumia sms nying za kunilaumu ila kilichompata Ni kuchezea block tu
Kama kutulia nilitulia Sana coz nlikua namuonea huruma Sana na hata akishika simu yangu alikua anakutana na madem wa zaman tu ambao hata Sina mpango nao ila akawa ananiona Kama siwez kuwa na madem wengine
Kuhusu kuridhika 6*6 Hilo siwez kulisemea Sana ila alikua anapata kile anachokitaka had anasema bas, na kuhusu hela ndo kabisaaaaa kila nikionana nae lazma nimkeshie hata Kama anasema bado hajazimaliza kiufupi hela sio sababu na kuhusu kumpa time Hilo nalo nililitendea haki ila huyu bidada leo kanishinda nikamwambia leo it's over
Ushauri kwa wadada ukiona mwanaume anakutimizia mambo fulani na umefika au kuzid miaka 25 inabd utulie tu coz always bahati haiji Mara mbili.
Cash pia ipo
Vipi PM kuna lolote linaendelea huko?
Sent using Jamii Forums mobile app