Kumuacha mpenzi unayempenda inauma sana

Kumuacha mpenzi unayempenda inauma sana

sema Ulikuwa Unaionea Huruma, ,ni kosa kubwa sana, uliingia kwa mahusiano kutoa msaada!? yenyewe jike imeona iko na muhisani ,ikaona ipate nyingine ya kuolewa nayo! ingine ati bahati haiji kwa mbili! this is not true buda! life is not a game of chance! Opportunities Are Going To Be Like A Flood ,ever Increasing. The latter opportunity will be greater than the former! don't go into life with an attitude that says , "you will never get another chance like this.....!" ingia kwa mtaa tafuta ingine,
 
Kwahiyo umemzidi miaka 25? Nawe ukome.
 
Pole mzee watu wa hivyo wapo, lakini songa mbele dunia imejaa wanawake hii. Nikuhakikishie katika kitu ambacho huwezi kuja kukosa ni mwanamke.

Wewe tuliza boli na usirudiane na kunguru wa kihivyo, na najua kama ulimzoeza pesa kuna siku atakutafuta tu, mchinjie baharini na usimwonee huruma kabisa.

Kikubwa usirudie tena kumzoeza mwanamke wako pesa bila sababu ya msingi. Miaka 27-33 ni muda mzuri sana wa kujijenga mwenyewe, hii tabia ya kutoa toa pesa hovyo ili mwanamke akupende kutakuletea umasikini.
 
Back
Top Bottom