Kumtongoza mwanamke unayemuheshimu ni shida sana

Umesema unampenda sana, kwa hiyo upendo umeisha baada ya kujua amezalishwa na mwingine?......kama upendo umeisha basi ulikuwa humpendi bali ulikuwa unamtamani.
 
....katika kumuuliza maswali akadai amezalishwa na kuachwa huko alikokuwa.... Hapo alimaanisha ameshakufungulia mLaNgO! Ulichukua namba yake ya simu?
sikuchukua niliona tayari mabadiliko sio kama yule wa mwanzo
 
Mh! Inategemea ntu na ntu Mkuu. Hata kama kuna heshima tele ukiamua kuzoza unazoza tu heshima zote unaziweka pembeni.

Habari zenu wakuu, natumaini Pasaka kwenu imekuwa vyema, kuna mdada mmoja tulikuwa tukiishi nae mtaa mmoja alikuwa mzuri shombe shombe nilitokea kumpenda sana lakini alikuwa ananiheshimu sana na binti mwenye maadili sana, nilitafuta kila mbinu ya kumuingia lakini nashindwa na sijawahi muona akizungumzia maswala ya mapenzi na sijawahi muona na mwanaume yeyote zaidi ya marafiki wa kike nao wote walikuwa ni mabinti wenye maadili sana ,kwahiyo niliangaika sana mpaka akasafiri lakini leo nimekutana nae ni mwaka wa tatu toka tupotezane Nimemuona ana mtoto mchanga katika kumuuliza maswali akadai amezalishwa na kuachwa huko alikokuwa roho imeniuma sana lakini Sina jinsi nilimpenda sana lakini udomo zege uliniponza sana ,vijana fungukeni msije mkaumia kama mimi .nawatakia sikukuu njema na Pasaka njema
 
Kwa sasa unayo fursa ya kumpata maana ushatambua ulikosea wapi.
Ila nikitazama hisia ulizo tumia kuandika inaonesha ulikua na lengo la kumiliki kisima ila "kishatiwa kata, unahofia huenda maji yashachafuka.
 
Ulikosea sana. Kule bondeni hakunaga mambo ya heshima unaweza kuduu na mtu mwenye umri wa kumpita mzazi wako bila shida. We kuwa huru kutomboka huku umekaza uso tu mbona wanalegea tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom