Kumtongoza mwalimu wako.

Kumtongoza mwalimu wako.

Mugunga

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2016
Posts
640
Reaction score
911
Katika maisha yangu ya shule niliwaheshimu mno walimu wangu.Haikuwahi kutokea haya siku moja nikawaza kumtongoza mwalimu wangu.
Ukipitia baadhi ya thread humu utagundua kuwa kuna watu ambao wameshawahi kufanya mapenzi na walimu wao na inaonekana sio issue!Jambo hili linanishangaza!Unaanzaje kumtongoza? Au yeye ndiye anajenga mazingira ya kutongozwa?
 
Heshima Mkuu, Magunga.

Katika saiki (Psyche) yangu nimegundua hivi, Umeshawahi kutembea na Walimu wako tena sana.Kinachokupata sasa ni "Tragedy of mis-calculation" hivyo umekuja kutafuta uungwaji mkono wa ulichokifanya.Ukiungwa mkono na wengi basi utajiona ulikuwa sahihi, usipoungwa mkono basi utajiona ulikosea sehemu.

Ni maono yangu, Mimi si nabii.You may agree or dis-agree.
 
Kupendwa na mwalimu raha sana
Heshima Mkuu, Lucky!

Mwanzoni inaweza ikawa raha sana, ikawa inakufurahisha akili.Unapata vijisenti vya Mihogo, bagia, Kufaulishwa kizembe nk.Lakini mwishowe, au baada ya muda fulani inakuwa kama sumu, Unaathirika kisaikolojia nk.

Ipo siku mtagombana, maombolezo yanafuata, huzuni inafuata nk.Furaha kama hii (Kutembea na Mwalimu) imo katika kanuni ya harara.Furaha yeyote inayopatikana kutokana na mchanganyiko wa akili ya vyombo vya akili siku zote ni ya asili ya taabu nyingi na inapaswa kuepukwa kwa vyovyote vile.

Asalaam.
 
Heshima Mkuu, Magunga.

Katika saiki (Psyche) yangu nimegundua hivi, Umeshawahi kutembea na Walimu wako tena sana.Kinachokupata sasa ni "Tragedy of mis-calculation" hivyo umekuja kutafuta uungwaji mkono wa ulichokifanya.Ukiungwa mkono na wengi basi utajiona ulikuwa sahihi, usipoungwa mkono basi utajiona ulikosea sehemu.

Ni maono yangu, Mimi si nabii.You may agree or dis-agree.
Kama kuna ka ukweli hapa ...
 
Hehe likely being right
 
Katika maisha yangu ya shule niliwaheshimu mno walimu wangu.Haikuwahi kutokea haya siku moja nikawaza kumtongoza mwalimu wangu.
Ukipitia baadhi ya thread humu utagundua kuwa kuna watu ambao wameshawahi kufanya mapenzi na walimu wao na inaonekana sio issue!Jambo hili linanishangaza!Unaanzaje kumtongoza? Au yeye ndiye anajenga mazingira ya kutongozwa?
Waliowah kufanya mapenz na walimu wao (Mostly waliotoa ushuhuda humu JF) hawakuwatongoza ila walitegwa na walim wao na the way wanavyohadithia WALIBAKWA
 
Back
Top Bottom