Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,950
- 9,880
Samehe saba mara sabini jamani!!!Ulichonifanyia Mungu anakuona..!


am sorrySamehe saba mara sabini jamani!!!Ulichonifanyia Mungu anakuona..!


am sorryAliekataliwa na wengine!!!Kwani wewe unamtaka reject au asiye reject? Usirushe ngumi lakini
Aliekataliwa na wengine!!!
Mwenye moja ya vigezo vifuatavyo atapewa kipaumbele zaidi...
1. Kibamia chini ya inchi 4
2. Naniliu haisimami
3. Hana naniliu kabisa
umeniudhi ila imebidi nicheke kwa sauti tu mana amna namna nyingineHahahaha.Aliekataliwa na wengine!!!
Mwenye moja ya vigezo vifuatavyo atapewa kipaumbele zaidi...
1. Kibamia chini ya inchi 4
2. Naniliu haisimami
3. Hana naniliu kabisa
4. Domo zege
Samahani kwa kukuudhi mkuu![]()
![]()
![]()
umeniudhi ila imebidi nicheke kwa sauti tu mana amna namna nyingine
Mi najua sifa ya nnayemtafuta... Haujafuzu bado...Hahahaha.
Kigezo namba 1 na 4 nimefuzu. Kipaumbele chako tafwazali
Aisee, uko sahihi hapa. Ujue mara zote ninayemtaka huwa siwezi kumwambia!Mi najua sifa ya nnayemtafuta... Haujafuzu bado...
Hakuna kutongozana kati ya mwalimu na mwanafunzi... Chanzo na sababu kubwa ni mazoea yaliyopitiliza na ukaribu wa ki-hasara hasara, na utani unaoashiria matamanio, ndiyo hushawishi hayo yote...
Cc: mahondaw
Hakuna kutongozana kati ya mwalimu na mwanafunzi... Chanzo na sababu kubwa ni mazoea yaliyopitiliza na ukaribu wa ki-hasara hasara, na utani unaoashiria matamanio, ndiyo hushawishi hayo yote...
Cc: mahondaw
kweli mkuu...ni tukio lililonipa funzo la maisha kwani baadae niliweza kuepuka mitego mingi chuoni..Mkuu pole Lakini huyo mwalimu alichukua uamuzi sahihi.
Kipindi fulani mke wangu alikuwa mkufunzi kwenye chuo fulani. Mwanachuo wa mwaka wa pili akamwandikia barua kumtongoza!Mke aliponionyesha nikakasirika kweli.Nikamshauri atoe taarifa kwenye uongozi wa chuo.Yule mwanachuo alifukuzwa huku amebakiza Sikh chache kuingia kwenye mtihani wa mwisho.Alikuwa ameshafanya graduation.
Kuwa na Amani Mkuu!Umekosea mkuu,sijawahi na nilishapita umri wa kuwa mikononi kwa walimu.Its just that naona kama ni kupungukiwa maadili kulikopitiliza kumtongoza/kufanya mapenzi na mwalimu kama baadhi wanavyojisema humu.
HAPPY BIRTHDAY ADELINHOZamani walimu walikua watu wenye umri mkubwa sasahivi mwalim ana miaka 25 to 35 unategemea nini