Kumsomesha mke wako chuo

Baba mdogo alimsomesha mke wake kuanzia olevel mpaka chuo kikuu ila yeye ni la saba tu,badae mke akataka kumgeuka baba alistuka alimzalisha gafla mimba za mfurulizo kila mwaka na kipigo juu sasa ana watoto watano,Ukitaka kuishi na mmachame uwe ngangali coz alijaribu hata kumloga ili waachane ikashindika
 

Sure thing,along side comes strong love to her
 
Wanaume mmekuwa waoga na msiokuwa na muelekeo kweli sijui kwanini, why hamjiamini na mfanyayo? Kila kitu lazima mtafute oppinions za watu? Wakikuambia acha ndio wamuachisha shule?
Akiamua kukubadilikia anakubadilikia tu hata kama hajasoma/hasomi na uko nae hapo home.
Afterall ww ndio waishi nae wamfahamu zaidi yetu, so just do whts best, acha uoga, failures za wengine zisidefine maisha yako.
 
Msomeshe tu, wewe unashida gani? kakupa zawadi ya mtoto inatosha, wewe endelea kuonesha upendo wako kama kawaida, lakini akirudi ukampime kwanza ndiyo uendelee.............Maana kuna Maudhi chuoni asikwambie mtu,
mi niliwahi kumshuhudia jamaa akimsomesha mke wake, halafu chuo mke amevua pete anabanjuka na mshikaji....
kuna vitu maumivu yake huwezi kuelezea, wala kuandika, wala kuchora....UKIMYA UNATOSHA.
 

huyo ni mke sio demu we somesha hadi PhD
 
Mkuu nandembako, usisiikilize maneno ya watu. Uaminifu ni tabia ya mtu na ni uamuzi wa mtu kuwa mwaminifu au kutokuwa mwaminifu. Ni kweli, hukoc chuoni kuna vishwawishi vingi sana ila kama mkeo ni mtu mwenye msimamo hatoshawishika, atabaki mwaminifu kwako siku zote hata kama mmetenganishwa na umbali.

Mimi nakushauri, endelea kumwamini mkeo na kumpenda. Achana na maneno ya wazushi ambayo yatakupa wasiwasi ambayo yatakufanya ufanye kitu ambacho kitaharibu ndoa yenu.
 
Last edited by a moderator:

Umenikumbusha ile habari yenu ya jana ya kutafuta approval ya marafiki. Wanaume hatukuumbwa hivyo ila nashangaa vijana wanaanza kuingia kwenye hiyo line. Men were made to act and bear the aftermath!
 

Acha kuita binadam wenzio kenge
 
Umenikumbusha ile habari yenu ya jana ya kutafuta approval ya marafiki. Wanaume hatukuumbwa hivyo ila nashangaa vijana wanaanza kuingia kwenye hiyo line. Men were made to act and bear the aftermath!

Ofcoz, mwanaume anakuwa defined pia kwa kufanya maamuzi magumu hata kama dunia nzima is against you, hii ya kuhangaika hangaika kuuliza kila kitu utajikuta unaishi maisha ya watu na sio yako.
 
Mkuu ,tusiwen na hofu ya kuchapiwa kiasi hicho. Suala la kugongewa ni suala la tabia na uamuzi wa mwanamke
husika tu (hurka tu ya mtu husika) , kwani ukisomesha mwanamke unakuwa umeandaa mazingira mazuri hata kwa watoto wenu
hata ikitokea bahati mbaya ukatangulia mbele za haki au ukapata kilema cha kudumu (ambacho huwezi fanya kazi)
hali itakuwaje .....??

Kumbuka unaweza kuwa na hofu ya kugongewa kiasi hicho
lakini ukakuta hata na house boy au mlinzi ambaye una muamini na kumuacha
na mkeo hapo nyumbani wewe ukienda kwenye michakato ya kusaka ankala.

 
very good,wengi mmekuwa na mawazo positive juu ya hili inapendeza kweli
 
wanao kubeza waulize vizuri,tena hao ndio mabingwa wakuhonga balaa mimi nawashikaji nawafahamu walikuwa wanaponda sana watu wanao somesha wanawake zao,lakini ukichunguza wanacho honga ni zaidi ya ada we uliyolipa kwa career development ya mwanamke wako,wengi wamehong mitaji ya saloon,grocery,cosmetics shop na maduka yanguo..Nakunakipindi mtaji unayumba baba anaingia mfukoni ana refund project ambayo hali hata mia kwenye huo mradi..

mwanangu somesha mkeo dont wait for returns lakini fanya kama vile umetoa mahitaji yafamilia kwa kila siku,isipokunufaisha wewe mwanao atanufaika nayo
 


Kwanza kabisa lazima ukumbuke jamabo moja...mtu akinda chuo anapanua mawazo so what she desired then myt not be what she deaires after finishing university. So anaweza rudi akakuona wee sio wa size yake.

Pili kwa kwenda chuo probability ya kugongewa ni 1. sasa kwa kuwa wewe ndio ulimkatiza masomo mwanawane...mie naona u did the ryt thing kumsomesha na endelea kufanya hivyo but usishangae mke akigeuka na kuwa diferent.
 
kumbuka ulimwachisha kwenda chuo alichopata pamoja na mkopo wa chuo ni jukumu lako kumsomesha sasa
 
Jamani mkeo kwenda chuo haimaanishi anaenda kufundishwa kuchepuka kama ni mtu anayejielewa wala hatabadilika
 

Duuuh, inaonesha umetendwa ww
 
Ni tabia ya mtu tu. Ingawaje wengine kweli hubadilika kwa kuiga tabia za wenzao. Jipe matumaini tu binadamu hafugwi kama mnyama. Hata nyumbani kwako wangekugongea tu. Mwamini
Mkeo!
 

Acha hzo wewe. Mwanamke alipata nafasi ya kusoma tena na mkopo mzuri tu. Mimba ikamfanya asiendelee na masomo sasa leo akienda kusoma kuna shida gan? Nyie watu wengine mna matatizo ya kisaikolojia umeona aibu kutaja 'mama yako'.... Ululala tumboni kwa mwanamke leo unaongea kwa dharau kama vile baba yako ndo alibeba mimba!!? Acha kabisa hata kama unavuta bangi jitahidi kuwa mstaarabu. @@*&%!!!
 

NPM unipe detail zake nitakuwa nakupa mrejesho. Mi ndo kituo changu cha kazi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…