Asabaya
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 1,310
- 419
Hakufanya sawa Hata kidogo, kupika jambo dogo sana, nikiasi cha kukaachini nakuambizana,Nikupe story fupi Yangu, kwetu Kwa baba Na mama sijawahi kuona tunakula ugali usiku Never! Au ugali bamia lina changanywaa na nguru nyanya chungu, mahara yana changanywaa na Nyama, lakini nilipo olewa mumewangu anaweza kula ugali usiku mara 2 Kwa wiki, na Hizo mboga Nilikua sijui lakini nimemfata mkwe Wangu kanielekeza sasa napika anakula Kwa Raha zake, sasa rafiki yako hakuanza vizuri....