Kumruhusu Makonda kugombea ni sawa na kuruhusu mvurugano baina ya wakuu wa mikoa, wilaya na wabunge kwenye kila mkoa

Mkuu Amekuzibia nini huyo Makonda? Au wewe ndio Gambo? Tuliwaonya lakini. Ungana na Cyprian Musiba mkafanye matanga.
Ukielewa hoja yangu ungeniunga mkono.

Kuna hatari huko mbeleni nchi isitawalike.

Mkuu wa mkoa akimpiga vita mbunge na vice versa, wataoumia ni wananchi.
 
Hakuna kitu kama hicho....ccm mbere kwa mbere
 
Sote tunafahamu kuwa Makonda alikuja Arusha baada ya kuteuliwa kuwa mkuu wa Mkoa.

Kabla ya hapo, hakuwahi ishi zaidi ya mwaka mmoja.

Hana makazi ya kudumu.

Hajui matatizo ya watu wa Arusha na kuyasemea kwa undani kama mzawa.

Uwepo wake ni baada ya uteuzi tu, kama asingeteuliwa asingegombea Arusha kama alivyofanya Kigamboni alipokuwa Dar.

Kumruhusu Makonda kugombea Arusha baada ya kuwa mkuu wa mkoa, kutatengeneza alama mbaya ambayo mkuu wa mkoa yeyote atahakikisha kuwa anampiga vita Mbunge mzawa ili achukue jimbo, hii itatengeneza migogoro na kuchelewa kwa maendeleo katika mikoa husika.

Makonda anatakiwa aishie hapa, akiendelea zaidi ya hapa madhara yatakuwa makubwa sana kuliko akipita.
Maadamu Makonda ni mtanzania anaruhusiwa kugombea jimbo lolote hapa nchini akitaka kufanya hivyo..
 
Unaongelea ukiwa wapi?? Sisi wanaArusha Tunamkubali Makonda mbaya mbovu, na tunaamini show yake ya kibabe itatuletea mafanikio makubwa sana wanaArusha. Makonda oyeee...
 
Hoja ya utanzania haina shaka, ila ubunge sio kwa kila mtu mradi umejisikia tu.

Ubunge ulimaanishwa kwa mzawa kuwakilisha wazawa wenzake.

Umesoma na usipende kuwa mbishi.
 
Unaongelea ukiwa wapi?? Sisi wanaArusha Tunamkubali Makonda mbaya mbovu, na tunaamini show yake ya kibabe itatuletea mafanikio makubwa sana wanaArusha. Makonda oyeee...
Wewe unaongelea ukiwa wapi?

Makonda hatumjui zaidi ya huyu mkuu wa mkoa..

Makonda sikuwahi muona popote Arusha mwaka 1999.

Aoneshe alikokuwa akikaa miaka hiyo.
 
Hii ni tafsiri yenu tu...ila popote nchini tunaruhusiwa kugombea maadamu wewe ni mtanzania
Kutokana na jinsi ulivyoamua kuelewa na hukatazwi kuelewa hivyo.
 
Gambo alimfanyia hayo lema ndio ikavuma sana sababu Lema mpinzani ila wabunge na Ma-Dc au RC kupishana kawaida sana
Nadhani umeshaona madhara ya hili jambo likiachwa liendelee.
 
Na katika matatizo yote ya hii nchi yetu hili ndio umaona ni TATIZO; Kwamba mtu sio MZAWA ?!!!

Mbona kama tunataka kuleta matatizo kwa kuyavika jamvi la maendeleo ?!!!
 
Back
Top Bottom