Kumruhusu Makonda kugombea ni sawa na kuruhusu mvurugano baina ya wakuu wa mikoa, wilaya na wabunge kwenye kila mkoa

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
38,515
Reaction score
48,822
Sote tunafahamu kuwa Makonda alikuja Arusha baada ya kuteuliwa kuwa mkuu wa Mkoa.

Kabla ya hapo, hakuwahi ishi zaidi ya mwaka mmoja.

Hana makazi ya kudumu.

Hajui matatizo ya watu wa Arusha na kuyasemea kwa undani kama mzawa.

Uwepo wake ni baada ya uteuzi tu, kama asingeteuliwa asingegombea Arusha kama alivyofanya Kigamboni alipokuwa Dar.

Kumruhusu Makonda kugombea Arusha baada ya kuwa mkuu wa mkoa, kutatengeneza alama mbaya ambayo mkuu wa mkoa yeyote atahakikisha kuwa anampiga vita Mbunge mzawa ili achukue jimbo, hii itatengeneza migogoro na kuchelewa kwa maendeleo katika mikoa husika.

Makonda anatakiwa aishie hapa, akiendelea zaidi ya hapa madhara yatakuwa makubwa sana kuliko akipita.
 
Duuh hata wewe?
 
Hajui matatizo ya watu wa Arusha na kuyasemea kwa undani kama mzawa.
Hii kauli huwa inachekesha sana, matatizo ya waTZ uhitaji hata utafiti wala kuwa mwenyeji, mkoa au jimbo lina mkurugenzi, diwani, mbunge, DC, RC, wenyeviti wa S/mitaa, hadi wajumbe wa nyumba 10.

Wote wa ccm, na kila uchaguzi matatizo makuu ni maji, barabara, shule, hospitali na vyote havifanikiwi.
 
Kwanini asiende kwao kule Alikozaliwa anangangania mikoa ya watu.
 
Sote tunafahamu kuwa Makonda alikuja Arusha baada ya kuteuliwa kuwa mkuu wa Mkoa.

Kabla ya hapo, hakuwahi ishi zaidi ya mwaka mmoja.

Hana makazi ya kudumu.

Hajui matatizo ya watu wa Arusha na kuyasemea kwa undani kama mzawa.

Uwepo wake ni baada ya uteuzi tu, kama asingeteuliwa asingegombea Arusha kama alivyofanya Kigamboni alipokuwa Dar.

Kumruhusu Makonda kugombea Arusha baada ya kuwa mkuu wa mkoa, kutatengeneza alama mbaya ambayo mkuu wa mkoa yeyote atahakikisha kuwa anampiga vita Mbunge mzawa ili achukue jimbo, hii itatengeneza migogoro na kuchelewa kwa maendeleo katika mikoa husika.

Makonda anatakiwa aishie hapa, akiendelea zaidi ya hapa madhara yatakuwa makubwa sana kuliko akipita.
Mimi km mtz ninayejitambua huyu bwana ingefaa afutike kbs asisikike popote
maana tunajua uchafu wake
 
Mimi km mtz ninayejitambua huyu bwana ingefaa afurike kbs asisikike popote maana tunajua uchagu wake
Ni kosa kubwa sana kumruhusu kugombea Arusha.

Itatokea vurugu kubwa sana huko mbeleni nchi haitatawalika.

Mamlaka zitakuwa ni kusuluhisha migogoro tu ya wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wabunge.
 
Waache waendelee na ujinga watz wamechoka
 
Ni kosa kubwa sana kumruhusu kugombea Arusha.

Itatokea vurugu kubwa sana huko mbeleni nchi haitatawalika.

Mamlaka zitakuwa ni kusuluhisha migogoro tu ya wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wabunge.
Mkuu Amekuzibia nini huyo Makonda? Au wewe ndio Gambo? Tuliwaonya lakini. Ungana na Cyprian Musiba mkafanye matanga.
 
Back
Top Bottom