Kumrekodi mtu bila ridhaa yake Ni kosa ?

leo around lunchtime kuna dada mmoja ambaye pia ni mke wa mtu nilikua nae tunafanya yetu ila nilishtuka nilipogundua kuwa anarecord video ya tukio kwenye pc, nilipomuuliza akasema itakua ilijiclick bahati mbaya, nilichofanya ni kuifuta clip nzima tukaendelea na show, ila hadi sasa sijaelewa alikua na lengo gani!
 
Umekwisha kama mjanja anarecover deleted file, au kama alikuwa na internet remejisave sehem, labda katika google photo/video
 
Back
Top Bottom