Bashungwa kakaa kisanii sana

Bashungwa kakaa kisanii sana

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,726
Reaction score
13,465
Huyu jamaa inaonekana maisha yake nnje ya bunge na uwaziri ni magumu sana, ukiingia kwenye page zake za Mitandao kakaa kisani sanii , Huwa anawatu wake wa kumrekodi akiwa anact usanii, na anaendaga na upepo

Kabla ya kupewa wizara ya mambo ya ndani alikuwaga mtu flan mpole sana kila alivyopewa tu kazi akabadilika vibaya

Now katupwa nnje naona anahaha kusaka uwaziri Jana alionekana kapiga magoti kzimkazi mwamba ni msanii haswa
 
Bila kuwa msanii CCM utapitwa na mazuri mengi, ndio maana vioja havikauki nchi hii
 
Huyu jamaa inaonekana maisha yake nnje ya bunge na uwaziri ni magumu sana, ukiingia kwenye page zake za Mitandao kakaa kisani sanii , Huwa anawatu wake wa kumrekodi akiwa anact usanii, na anaendaga na upepo

Kabla ya kupewa wizara ya mambo ya ndani alikuwaga mtu flan mpole sana kila alivyopewa tu kazi akabadilika vibaya

Now katupwa nnje naona anahaha kusaka uwaziri Jana alionekana kapiga magoti kzimkazi mwamba ni msanii haswa
usanii umeona kwa huyo tu..viongozi wengi ni wasanii mbona "CHALAMILA" hutamtaja au huyo unabifu naye.
 
Ni msanii kweli kweli nakumbuka uchaguzi wa 2020 alitembelea mama ntilie nayeye akaomba aachiwe jiko eti apike, akavaa na apron kabisa kumbe ni harakati tu za kutafuta kura
 
Back
Top Bottom