Ingebidi utoe hoja yako siku ile ile mliyofanya kikao. Kuendelea na hilo swala baada ya kikao, haitakua jambo zuri kwako. Endelea kuchapa kazi ila unaweza kwenda kwa Meneja rasilimali watu kumueleza kua kitendo cha picha yako kusambazwa kilikudhalilisha then yeye ndio atazungumza na huyo mzungu!