Kumpiga mkeo sio poa kabisa

si nchenzo
 
Yes huu ndio mfano wa situation ambazo unasikia mwanamke kapihwa Sasa mtoa mada ilibidi atuwekee alternative je tufanye nini badala yake yeye anasema sijui mikono imeumbiwa kumkandakadna na kumpaka mafuta Yes ni kweli lakini sasa hapa unazungumzia hatupo kwenye amani kakutukana mbele ya watoto
 
Moangaji wetu kapigwa juzi
Jicho nyanyaa😂😂
na ukichapwa makofi na mkeo chumbani usithubutu kuripoti polisi chonde chonde Mwanaume Kamili.

Wajuba wakijua utajuta na kuteseka maisha yako yote.

ukigongwa mangumi na mateke na mkeo,
bora hakuna alieona wala kujua ni wew na yeye tu, haina shida kabisa
na siku zingine ukiwa unapigwa washa radio hadi mwisho ndio watu wasikie kibano unachokula chumbani.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…