Kumpiga mkeo sio poa kabisa

Hakunaga jibu la aina moja ,

Sanasana kila mtu na mtuwe.

Wewe kama umekubali kutawaliwa nam mkeo kinyume na Maandiko Matakatifu sawa.
 
Kwanza wengine wamesharogwa ndio maana wanasema hivyo!

Ukisharogwa utabaki Mwanaume wa hewara hewara tu Hata kama si utumwa.
 
Huyo wakutandikwa yupo hapa hapa jf?

Ukishushiwa kipondo usije lia meeeh !

Ameshakusoma jiandae kwa kipondo

Ajaribu aone yupo humu humu jf [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
 
Kama ni uchumba wa wiki moja kisha mnaoana hakika atakuficha mengi.

Ila kwa uchumba wa at least mwaka na kuendelea utamjua tu maana tabia haina dawa
Watu wanakaa uchumba sugu miaka kumi wakifunga tu ndoa Tabia inabadilika
 
Wanaume kibao tu wanapigwa na wake zao.
Pana wanawake madikteta waliokosa malezi bahati mbaya ukakosea kuoa
 
Wanaume wengi wanateswa na wanawake wa aina hii lakini wanaumia ndani kwa ndani matokeo yake kupelekea maafa
 
Wanaume wengine wanatwezwa utu wao na wanawake zao!

Mwanamke anamsema Mwanaume mpaka anamaliza maneno yote[emoji108]

Basi afadhali Mwanaume awe msema hovyo lakini akiwa mkimya anaumia kwa ndani tu,

Ndipo unakuta vikizidi anaweza kuangamiza mwanamke wa hivyo.

Unamchamba mumeo unasema amekuwa Mwanaume suluari?

Si matusi mazito hayo?!

Unamwambia umechoka wewe kuwa mama na baba ndio wewe?!
Kweli?!
Halafu mbele ya watoto?!
 
ukijua ladha ya mwenzi wako,

Kuchelewa nyumbani itakua mwiko
Kukaa kimya kwa muda bila kumsabahi hutoweza,
Kutoka peke yako itakua mbinde sana,
Kula chakula chochote kile pekeako itakua kwa mbinde,

Jitahidi sana kubaini ladha ya mwenzi wako kiuchumi, kijamii n.k. utafurahia sana
 
imajini ndio wife: we mwanaume gani, matako wewe huna akili lione lipolipo tu, mbele ya wanaume na ww mwanaume. Yaan sijui kilini kuta nini kuolewa na mbwa kama wewe,? Hapo mbele ya watoto then mwanaume unakuja na swaga: beib samahan afu unambusubusu khaaaa halooo aah aah ukifikia hatua hy badili tu jina kama unawatoto jiite tu mama epii maisha mengine yaendelee maaana hapo hakuna mwanaume pia wiki ikipita unamshauli mkeo anunue dilido akukazie palipolegea...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…